Recent content by musilikale

  1. M

    Zijue tofauti kati ya CCM na CHADEMA

    uwezo mdogo wa kufikiri ndo unaokusumbua
  2. M

    Jerry Silaa atangaza kugombea Ubunge Ukonga

    jery yupo fit anaweza kama atapitia CCM na sio CDM maana ukonga Wachaga si wengi na Wakurya waliopo hawana uwezo wa kumchagua Mbunge kupitia CDM maana kufanya hilo ni sawa na kulazimisha kivuli cha Mzungu kuwa cheupe.
  3. M

    Nimechelewa dakika 5 kwenye interview

    ni vema kabla ya interview ukajua mazingira bkozi kwa dar ofisi nyingi uhama kila siku.
  4. M

    Housegirl kama ni tamu hivi mbona mama anampa

    Kama ndo mara yako ya kwanza kwa huyo hg kumega na kweli hujawahi kumega kwingineko nahisi ujanja wa mapenzi hasa ya 6 kwa 6 huna,jaribu kuwaona wazoefu wakupatie mbinu za kumwondoa Jose kwa papuchi yako.
  5. M

    Jimbo la Busanda Geita na heka heka za diwani Bugomola kuwa mbuge

    Kama Mawazo ndo kaandaliwa na CDM kupambania ubunge Busanda hatoshi hata kidogo,kwani mara nyingi mtu akishindwa udiwani na kukimbia mwenyewe iweje leo apewe kuwakilisha watu zaidi ya elfu sabini aweze?Ndo maana namshangaa Mawazo kukumbuka kwao asubuhi wakati wengine ukumbuka kwao usiku.
  6. M

    Maghufuli:Barabara ya Somanga ina mkosi

    ndo wazee wa kugandua gundu hiyo wameisha mbona akina Kingunge wanawawakilisha BMK?
  7. M

    Alphonce Mawazo achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita

    unafiki wa kisiasa mkubwa baada ya CDM kuonekana kuwa chama cha Kaskazini eti sasa wanatafuta mbinu ya kuonekana kina sura ya kitaifa huo ni wizi mtupu,hivi ni yupi bora? malaya wa kisiasa au malaya wa wanawake maana alichokifanya Mawazo ni usanii mtupu ambao tafsiri yake ni kwamba Arusha...
  8. M

    Maneno ya Lukuvi kutimia. Sasa CHADEMA nayo imeingia kwenye mtego mzito!

    binafsi sifurahishwi na namna ambavyo waTZ wenzetu wanapokuwa pamoja kwa lengo fulani kufika huko na kuanza kuunda vitaasisi uchwara kama UKAWA ktk BMK.Halafu chaajabu zaidi ni pale ambapo vyama vinavyounda UKAWA viliwahi kulushiana madongo kwa tuhuma za kuunga mkono ndoa za jinsia moja iweje...
  9. M

    CHADEMA kushinda kwa kishindo uchaguzi wa 2015

    kwa mfumo wa siasa za tz za watoto kujaa ktk mikutano ya kampeni za vyama vya upinzani na vijana wasiojitokeza kupiga kura ni sawa na ndoto za mchana,upinzani watashika dola kama sheria ya kuwabana wananchi kupiga kura itapitishwa vinginevyo kaa usubiri miujiza.
  10. M

    Edwin Mtei asikitishwa na alaani kitendo cha Tundu Lissu kumtukana Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere

    Tundu alidhani kuondoa utakatifu wa Nyerere ni bora zaidi kuliko wao kujiita wabunge watukufu? mi nadhani nidhamu yake ishughulikiwe ipasavyo.
  11. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    chaguo la wengi liheshimiwe,nawashauri vyama vya upinzani kutotumia nguvu kubwa katika raslimali zao wakibaini hawatashinda.
  12. M

    Kila kheri wana Chalinze, sauti yenu imesikika, Kalenga ni rasharasha masika yako Chalinze

    du!kumbee mimi nilikua sijui mkuu kwamba kamati kuu ya cdm inaundwa hivyo endelea kutupatia maovu yao mengine ili tusiojua tupate ufahamu zaidi.Bigup.
  13. M

    Diwani CHADEMA kufikiswa mahakamani

    madiwani wa cdm ni watanzania kweli? inaonesha kuna haja ya kuwapima ubongo manake vitendo vyao ni vya kihun.
  14. M

    Anguko la CHADEMA lipo njiani

    hako ni kautafiti au ni njozi mkuu,mimi nilijua mchumi wao kasimamishwa ndo maana matumizi ya chopa tatu jimbo hasi ni kutumia sakosi yao vibaya nawashauri waachane na siasa wakawinde wanyama.
Back
Top Bottom