CHADEMA kushinda kwa kishindo uchaguzi wa 2015

Asante kwa angalizo mkuu....ila hayo ya wana wa Israel ilichukua over carne ila ya Gadafi ilikuwa ni Tweet moja tuu na ilisababisha kifo chake within a days. CCM Hawajui wafanyalo maana wanakata tawi huku wamelikalia

Kipindi wana wa Israeli walipoenda Misri zaidi ya 70 waliteswa sana na watu wa misri ili waweze kupungua.Wanyampala wa misiri waliamlishwa wawatese sana kwa kufanyishwa kazi zote ngumu zikiwemo na za mashamba. Baada ya hapo Mfalume akawaamuru wakunga wa Misiri Shifra na Pua kwamba wanawake wote wajawazito kutoka misriwakija hospitali kujifungua kwamba,endapo mwanamke atajifungua mtoto wa kiume yule mtoto wamuue lakini kama ni wa kike wamuache aishi.

Wakunga hao hawakuweza kutekeleza agizo kutoka kwa mfalme wao.Kwa kitendo hiki wana wa israeli walizidi kuongezeka na kupendwa zaidi na wana wa misiri. Mfalume akaja kuwauliza hao wakunga mbona hamtekekelezi agizo langu? ,Wakunga wakamjibu kwamba Farao kwamba Wanawake waebrania si sawa na wa misiri wao ni hodari kabla mkunga hajafika wameshajifungua.Basi mwenyezi mungu akawajalia mema wakunga hao.

Pia kipindi shetani anamuua Yesu msalabani alifikiri kuwa ni kweli ameshamuua,lakini kila alipokuwa akienda alikutana na nguvu za Mungu,kumbe mungu bado yupo

Nijaribu kutoa tafakuri ndogo tu juu ya neno hili la leo kwa kuhusisha Siasa zetu za Tanzania.
Serikali ya chama cha mapinduzi inavyozidi kukataza haki za vyama vya upinzani kufanya mikutano mbalimbali nchini isifikiri kwamba inavikomoa hivi vyama bali vinazidi kuungwa mkono na watanzania wapenda maendeleo.
Askali wanaolazimishwa kupiga risasi za moto na kuwaua raia wasio na haki nawafananisha na wakunga wawili wa misiri yaani Shifra na Pua,ipo siku wataacha kutekeleza yale yanayoamuliwa na viongozi wa ccm.

Huu ni mtazamo wangu. wewe unasemaje?

Mandago 2015 kwimba-0765183733
 
Umekosa kabisa kitu kingine cha kupost hapa jf mpaka unaleta huu uchafu wa chadema kushinda??
 
Jipeni Moyo,ila hatutaongozwa na chama chenye kulalamika tunataka chama kinachoonyesha njia.. CCM Oyee
 
kwa mfumo wa siasa za tz za watoto kujaa ktk mikutano ya kampeni za vyama vya upinzani na vijana wasiojitokeza kupiga kura ni sawa na ndoto za mchana,upinzani watashika dola kama sheria ya kuwabana wananchi kupiga kura itapitishwa vinginevyo kaa usubiri miujiza.
 
ubarikiwe sana , na kwa niaba ya familia yangu naomba nikushukuru .
 
Bom la machoz lilipigwa pale tido, wanafunzi tulisambaratika, watano tulijikuta tupo chini ya ulinzi wa askari kwa kuwa tulikuwa chochoro kuna askari alitamka maneno haya...
"wadogo msifanye fujo hata sisi tuwewachoka hawa jamaa ipo siku hizi silaha zitawageuka wao" siku itafika serikali dharimu ya ccm itang'oka kwa nguvu ya umma
Pole kwa kuganga NJAA kwenye siasa baada ya kufeli mtihani na kukosa ajira.
Huenda ulichanganya GWANDA LA POLISI NA GWANDA LA CHADOMO.
hiyo ndoto ni kama ya mtembea kwa miguu JANGWANI. anachoona mbele yake ni complete ILLUSION
 
Kipindi wana wa Israeli walipoenda Misri zaidi ya 70 waliteswa sana na watu wa misri ili waweze kupungua.Wanyampala wa misiri waliamlishwa wawatese sana kwa kufanyishwa kazi zote ngumu zikiwemo na za mashamba. Baada ya hapo Mfalume akawaamuru wakunga wa Misiri Shifra na Pua kwamba wanawake wote wajawazito kutoka misriwakija hospitali kujifungua kwamba,endapo mwanamke atajifungua mtoto wa kiume yule mtoto wamuue lakini kama ni wa kike wamuache aishi.

Wakunga hao hawakuweza kutekeleza agizo kutoka kwa mfalme wao.Kwa kitendo hiki wana wa israeli walizidi kuongezeka na kupendwa zaidi na wana wa misiri. Mfalume akaja kuwauliza hao wakunga mbona hamtekekelezi agizo langu? ,Wakunga wakamjibu kwamba Farao kwamba Wanawake waebrania si sawa na wa misiri wao ni hodari kabla mkunga hajafika wameshajifungua.Basi mwenyezi mungu akawajalia mema wakunga hao.

Pia kipindi shetani anamuua Yesu msalabani alifikiri kuwa ni kweli ameshamuua,lakini kila alipokuwa akienda alikutana na nguvu za Mungu,kumbe mungu bado yupo

Nijaribu kutoa tafakuri ndogo tu juu ya neno hili la leo kwa kuhusisha Siasa zetu za Tanzania.
Serikali ya chama cha mapinduzi inavyozidi kukataza haki za vyama vya upinzani kufanya mikutano mbalimbali nchini isifikiri kwamba inavikomoa hivi vyama bali vinazidi kuungwa mkono na watanzania wapenda maendeleo.
Askali wanaolazimishwa kupiga risasi za moto na kuwaua raia wasio na haki nawafananisha na wakunga wawili wa misiri yaani Shifra na Pua,ipo siku wataacha kutekeleza yale yanayoamuliwa na viongozi wa ccm.

Huu ni mtazamo wangu. wewe unasemaje?

Mandago 2015 kwimba-0765183733

umeandika vizuri historia ya ukombozi wa kanisa la Mungu kutoka misri

Lakini yanayofanywa na Chadema ,Cuf na Nccr ni Ushetani usio weza kufananishwa na historia takatifu ya kanisa la Mungu
 
CDM ushindi wake upo mikononi mwa CUF, Kama tu wakikubaliana na kuwa kitu kimoja.
 
Back
Top Bottom