nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Duh,msimu mwingine wa watanzania kudanganywa unakaribia! Ili wapewe ubunge wakifika bungeni wakitumikie chama badala ya umma..
Ameogopa kugombea Segerea kwavile Makongoro na Masaburi walimtishia kumroga?
Meya wa Ilala Jerry Silaa ametangaza nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga Katika uchaguzi mkuu ujao.
Meya huyo ametangaza nia hiyo huku Jimbo la Ukonga likiwa jimbo linaloongoza kwa miundombinu mibovu ya barabara kiasi kwamba nauli ya daladala inafikia hadi 1000/-
Kwa sasa Jerry Silaa ni meya wa Ilala ambapo Jimbo la Ukonga liko chini yake na hatua mbalimbali za wananchi kulalamikia ubovu wa barabara hizo hazijafua dafu.
CCM imepoteza udhibiti wake katika maeneo mengi ya Ukonga kwa Chadema ambapo miaka ya nyuma ilikuwa ngome kuu ya chama hicho tawala.
Source:Mwananchi
mkuu haka kajamaa hakafai, hata kupitia ccm, naamini ccm inao watu wazuri zaidi ya huyu anaye ishi na uchafujery yupo fit anaweza kama atapitia CCM na sio CDM maana ukonga Wachaga si wengi na Wakurya waliopo hawana uwezo wa kumchagua Mbunge kupitia CDM maana kufanya hilo ni sawa na kulazimisha kivuli cha Mzungu kuwa cheupe.
jery yupo fit anaweza kama atapitia CCM na sio CDM maana ukonga Wachaga si wengi na Wakurya waliopo hawana uwezo wa kumchagua Mbunge kupitia CDM maana kufanya hilo ni sawa na kulazimisha kivuli cha Mzungu kuwa cheupe.
teh teh, kwa hiyo ccm ni chama cha makabila yepi? Duh kazi ipo tanzania!jery yupo fit anaweza kama atapitia CCM na sio CDM maana ukonga Wachaga si wengi na Wakurya waliopo hawana uwezo wa kumchagua Mbunge kupitia CDM maana kufanya hilo ni sawa na kulazimisha kivuli cha Mzungu kuwa cheupe.