accountant D
Member
- Dec 17, 2013
- 46
- 17
- Thread starter
- #41
nilitumia google maps.mshale haukuwa una move.nilijaribu hata kuangalia settings.. wapy!nikabaki kuuliza.nimehesabu nyumba zote toure drive,oysterbay..
Naogopa kukukatisha tamaa lakini kwa pwc hiyo kazi inabidi uisahau tu:-
1. Wana-interview watu wengi tena wazuri kimatokeo, na these days most of the students wanajua kujieleza sana kilugha tofauti na miaka michache iliyopita, kwa hiyo probability ya wewe kukosa ni kubwa, otherwise ungepewa muda hata wa ku-apologize;
2. pwc wana-consider muda kama kitu cha kwanza kwa kila kitu, kama huwezi ku-observe muda wa interview possibility ni kubwa utashindwa ku-observe muda wa kazi pia;
3. Umekaa nyumbani mwaka mzima bila kazi; unless ulikuwa unafanya pepa za bodi, la sivyo wataona kwamba wewe si kitu kwa sababu ungeshapata kazi;
All in all, Mungu akipanga utapata kazi, jaribu pia kucheki firm zingine kama EY (maana huwa wanachelewa kuita na sasa hivi wanahitaji watu wengi kuliko pwc.[/QUOTE
hiyo namba 3 acha kudanganya watu,kwani mtu akikaa mwaka nyumbani bila kazi ndio hakuna kitu kuna watu wamefaulu vizuri na bado wapo mtaani.ajira ni janga la taifa naomba ufahamu hivo
wow, nilikuwa sijajua hili mkuu, asante sana!