Maghufuli:Barabara ya Somanga ina mkosi

Maghufuli:Barabara ya Somanga ina mkosi

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,913
Akizungumza bungeni muda huu anasema ujenzi wa km 7 umekua na matatizo,Kila mwenye kampuni ya ujenzi pale anakufa.Yeye mwenyewe kanusurika na ajali ya helikopta akitaka kwenda somanga kukagua.Ikumbukwe barabara hii ilianza kujengwa tangu enzi za Rais Mwinyi mpaka leo haijaisha
 
Tenda ya kutengeneza hapom Wampe maji marefu
 
ndo wazee wa kugandua gundu hiyo wameisha mbona akina Kingunge wanawawakilisha BMK?
 
Kwani mbona daraja la rufiji waliweza kulijenga jamani richa ya kujaa uchawi wa kila aina? watumalizie barabara yetu jamani nasi twende nyumbani kwa amani misimu yote ya mwaka, masika na kiangazi
 
Nimecheka hadi basi

Hyo barabara ipo wapi?
 
Back
Top Bottom