Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,126
Bavicha girls maneno yanakutokatakataka linaloishi kwa buku saba hili... Achana nalo lumumba bk 7.
Bavicha girls maneno yanakutokatakataka linaloishi kwa buku saba hili... Achana nalo lumumba bk 7.
we mwenyewe unaitwa chogo utakua na akili kweli?
huyo diwani afungwe maisha jela ,hana adabu ni taahira kama wafuasi wa chama cha kitapeli chadema
Anayestahili kushitakiwa ni Waziri mkuu kwa kutofanya maamuzi kwa muda mrefu kuliko inavyotarajiwa.
Amekosesha wananchi wa kata hizo maendeleo kwa kuingiza uhuni wa ccm. Na kwa kweli kitendo hiki kimethibitisha kuwa waziri mkuu ni mzigo wa misumari wa ccm.
we ndio taahira namba moja tanzania
huyo diwani afungwe maisha jela ,hana adabu ni taahira kama wafuasi wa chama cha kitapeli chadema
View attachment 149340Huyo Diwani ana mambo ya kitoto sana, kumfungia mkurugenzi wa halimashauri ndani, ni utovu wa nidhamu usiosemeka, wapiga kura wake wamesikitishwa sana na kitendo cha kijinga kufanywa na diwani wao!
Hivi CHADEMA na wafuasi wake ni lini wataacha mambo ya kitoto na sifa za kijinga?