Wadau habari zenu,
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 31, nimepima afya na kukutwa nina maambukizi ya VVU.Natafuta mke wa kuoa mwenye maambukizi kama mm ili tuishi kwa matumaini.
Sina masihara katika jambo hili, mimi ni mkristo na ningependa apatikane mkristo mwenzangu ili kusiwe na vikwazo...
Wadau poleni na majukumu. Mimi ni mwanaume umri miaka 31 naishi dar nimeathirika na vvu. Hivyo natafuta mke mwenye vvu ili tuishi kwa matumaini. Nimetafakari muda wa kuoa umefika.Nina afya njema sana yeyote mwenye nia ya dhati ani pm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.