Dar es Salaam: Mbaroni kwa mapenzi ya jinsia moja

Dar es Salaam: Mbaroni kwa mapenzi ya jinsia moja

Huyo mauwa ni mzoefu wa kuwasaga wenzie hata wolper anajua mziki wake na amemuhonga cm kibao. Huyo ndo mau a.k.a uncle Moore
 
!
!
wanaacha kufanya mambo ya maana wanakomaa kuingilia starehe za watu. Wanatoa mbwa kwa wachina hao polisi na majirani wanoko.
 
Jamani! Wenye watoto wa kike tuwe macho, tukiona watoto wetu wa kike wanakuwa na urafiki usio elewekana na msichana mwenzie tufuatilie kwa ukaribu.
Ee Mungu tuepushie haya mapepo.
 
Wewe achana na hii shughuli wewe, mwanamke anajua maujanja yote ya kufikia g-point, kwahiyo akimkunja mwanamke mwenzake hakuna mwanaume anaweza kufika hapo, kinachobaki ni kubadili shuka tu kwani watakojoa kama mashine.

Tell them!!!
 
Umagharibi tunaoutaka ndiyo huo sasa unakuja kwa kasi. Aibu sana

Wala si umagharibi ni uhuru na utashi wetu tunao uwezo wa kuchagua, uwezo wa kutenda mabaya na mazuri tunao sisi wenyewe hata bila wamagharibi, au tuulizane kukata viungo vya albino tuumetoa nchi gani kama sisi hatuweiz kufanya maamuzi
 
Yan hao wakikugongea dem wako ujue bas ushamkosa nasikia utam anaopata kule tofaut kabisa na wa cc wanaume
 
kama yupo mwenye number za huyu binti ani pm! inzi kufia kwenye kidonda siyo ujinga

IMG20150113WA0007.jpg

Humuwezi kaka kwan akishaonja ile ya jinsia moja mwanaume huwezi kumridhisha hata kitg na wakitoka wale wataendelea tena
 
Daaaah kuna kidude kinaitwa kirabbit hicho ukimfanyia mwanamke lazima akojoe nasikia kina stimu balaaa
 
Mhh hilo jike dume sijui linapata raha gani hapo

Ishia hapo hapo mkuu hawa wanawake wa disgn hii wakimpata demu wako wallah kesho anaomba talaka anakuacha wanajua kucheza na hisia za mwanamke tena akiwa na hicho kidildo kinachotumia betry au umeme sahau demu wako kukurudia,waogope kama ukoma.yupo mmoja mtaani kwetu kuna mdada alitaka kunywa sumu kwa ajili yake
 
Sheria kama hizi ni aibu kwa taifa letu na ni za kikoloni....serikali haifai kuingilia private life ya watu!
 
Huyu msagaji Maua anazidi kututukanisha wanaume wa Dar kwamba atuwaridhishi, Wakulima wakiona hivi ndio wanapata neno!

he he he Mkuu umenichekesha sana....inabidi tutafute mbadala wa supu ya pweza naona haina effect...
 
Back
Top Bottom