Haya ndo masihara ambayo mtoa uzi kasisitiza kuwa hayataki..sifa gani unazoziongelea ww??
Wewe pipa taka bora usibishane na mimi. Utapata mapunye ya sehemu za siri ubadilishwe jinsia.... najua utafurahi sana.
unyanyapaa sio ishu. ni ujinga uliopitiliza.
come again
sio maskhara cuttie,, asa kama kule kuchkua arv hua tunaenda wote wanaume kwa wanawake kwanin jamaa asitafutie uko uko,,, point ya kujitangaza apa ni ipi? nway ucjal na me akil yng ndo imeishia hapo!!
Achana na hili cheche... linajihisi liko salama saaaana. Pumbaf zake na robo.
Mungu alilaani lifie jalalani
sio maskhara cuttie,, asa kama kule kuchkua arv hua tunaenda wote wanaume kwa wanawake kwanin jamaa asitafutie uko uko,,, point ya kujitangaza apa ni ipi? nway ucjal na me akil yng ndo imeishia hapo!!
Na kama hajaona anayemfaa kule??? Katima maisha yako epuka kukurupuka na kufikiria upande mmoja usiwe kama mnyama.. Watu wanaotangaza kutafuta wachumba humu ina maana mtaani wameisha???? Epuka unyanyapaaa hata kama jamaa ndio anatafuta sifa fikiria pia ametoa somo kwa wengi humu..!! Epuka unyanyapaaa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums