Recent content by mushi

  1. mushi

    Signal finder

    namna ya kuagiza ndio tatizo ndugu
  2. mushi

    Signal finder

    naombeni anayefahamu anijuze ni wapi wanauza SIGNAL FINDER kwa ajili ya kufungia madish hapa jijini dar es salaam na bei yake kama inafahamika ... asanteni
  3. mushi

    Natafuta shule nzuri ya sekondari yenye gharama nafuu

    kuna shule ya serikali inaitwa KIROMO ipo BAGAMOYO mwaka jana imekuwa ya kwanza kwa shule za kata wilaya ya bagamoyo ....wana hosteli unalipia chakula 320000 tuu
  4. mushi

    Mradi wa kulima MATIKITI

    nimekusoma kaka.... nimeshaanza kulima maeneo ya RUVU bagamoyo i hop to hit my target
  5. mushi

    Mradi wa kulima MATIKITI

    ANAEJUWA IDADI YA MATIKITI YANAYOWEZA KUZALISHWA KWENYE EKARI MOJA ANIJUZE, NA BEI YA JUMLA INAKUWAJE?
  6. mushi

    Tutafakari kwa pamoja kuhusu sukari

    TUTAFAKARI PAMOJA KUHUSU SUKARI tangu kuwepo kwa dunia hii, kumekuwepo au kupita kwa mifumo mbali mbali ya kiuchumi, kisiasa na kiutawala. lakini katika kupita huko kwa dunia katika vipindi mbalimbali dunia haikuwahi kulandana kabisa, namaanisha kwamba wakati jamii fulani ilipokuwa kwenye mfumo...
  7. mushi

    Mkopo wa bajaji

    Naomba kuuliza wapi nawezakupata mkopo wa bajaji hapa dar es salaam??
  8. mushi

    Mawaziri fuateni nyendo za prof. Muhongo, wengi mnakurupuka

    kweli kabisa muhongo anajitahidi hana promo za kijinga
  9. mushi

    Zima Moto Updates

    nichekie "beda mushi"
Back
Top Bottom