Recent content by Museven

  1. M

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kubadilisha Sheria ili kukwepa kumkamata Putin

    Mwanaume gani anayeogopa kuiface ICC!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huyu askari bado yupo kazini kweli?

    Hahahaha.....we jamaa feki kweli! Unalazimisha tu mpaka uiseme CDM, inahusikaje sasa hapa!!??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Matroni wa kukaa na wanafunzi hosteli

    Kazi hiyo inayobagua mpaka dini hapa Tanzania haifai. Waislamu mtaacha lini udini? Mbona wenzenu Wakristo wanaajiri kila mtu mwenye sifa bila kubagua dini?? Acheni hizo!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa: Mawaziri walimdanganya Magufuli azuie Mikutano ya hadhara nilipowabana Wakakiri na kudai Wanaogopa kumrudia arekebishe!

    Hana lolote Slaa tena. Njaa ndio inamuendesha kwa sasa!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mtoto kuona picha ya baba yake alipokuwa mtoto?

    Cha ajabu ni nini hapo? We unadhani huyo mtoto anaamini wewe baba ulizaliwa ukiwa mtu mzima?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tabora: Oparesheni 255 yakumbushia Ripoti ya CAG. Wananchi Wabubujikwa na Machozi

    We mwepesi mno na maswali yako ndio basi kabisa!!! Damu ya kijani inakutesa!
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

    Hakika. Unaona humu anamkasirikia kila mtu wakati ngono walifanya wao, sisi hatukuwepo!!!
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

    Pisi kali ya wapi ndugu, pisi mbovu tu hii! Angekuwa pisi kali jamaa angeendelea kufaidi na wala asingekimbia! Pisi kali haijiuzagi. Inafuatwa, haijipeleki kudanga!
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

    Kumbe ndio maana ukaachwa kwenye mataa upambane na hali yako. Nani angevumilia mdomo mchafu kama huu! Hata hivyo mkaka wa watu muungwana sana mpaka kakuachia na laki kabisa na bado hushukuru!! Duh..,.. Mie ningekuachia deni zima ukomaenalo mwenyewe, na asali nishapakua! Hahahaha..... Badilika...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

    Uwe mkweli tu, ww unajiuza. Tujue bei ili tuje kupata huduma fasta. Miezi ya baridi inakuja, unaweza kutufaa zmsana!
  11. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

    Mnatuchanganya bwana. Mbona taarifa zingine zinasema alijirusha toka ghorofa ya 7 kwenye jengo lenye ghorofa 15? Nani mkweli sasa?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kustaafu rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari baada ya kuhudumu miaka 30. Niko free kujiunga Siasa, nimejiunga CCM na nitagombea Ubunge

    Kila la kheri, tupumzike kero zako humu! Ulikuwa unatukata stimu sana!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni miongoni mwa Wakristo wachache sana Duniani walioruhusiwa kuingia ndani ya Msikiti, mwingine ni Papa!

    Kwani kuna nini so special msikitini mpaka Magufuli aonekane kama alipendelewa hivi kuingia msiitini?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tohara ya ring imeekaeje wakuu?

    Jinga kweli ww!!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

    Wajinga ndio waliwao.
Back
Top Bottom