Dr Slaa: Mawaziri walimdanganya Magufuli azuie Mikutano ya hadhara nilipowabana Wakakiri na kudai Wanaogopa kumrudia arekebishe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,018
142,058
Balozi Mstaafu Dr Slaa amesema Hayati Magufuli alidanganywa na Mawaziri wake kwamba Marekani uchaguzi ukiisha Siasa zinahamia bungeni siyo mitaani

Dr Slaa amesema aliwahoji Mawaziri hao ambao ni Wanasheria nguli na Wakakiri kumpotosha Rais ila wanaogopa kwenda kumrekebisha

Source: Nipashe
 
Hamna faida yoyote ya mikutano ya hadhara zaidi ya kutumia vibaya kodi za wananchi.

Ilipozuiwa tu mikutano ya hadhara na nchi ikaingia uchumi wa kati
 
Sasa hivi mikutano inaendelea ili kutafuta tu majimbo. Hakuna anayekemea Tozo, maisha kupanda na wala wizi wa pesa za umma unaoendelea.

Mikutano ni wizi tu wa Kodi zetu
 
Kama hiyo mikutano unaifanyia chumbani kwako wew na mkeo sawa lakini mikutano ya Chadema watu wanaambiwa uhusiano wa maisha yao magumu na ccm na katiba mpya itasaidiaje kuwa kwamua watu kutoka mikono ya majambazi haya ya ccm
 
Yeye yuko hapa jf anasubiri nyuzi ikiletwa iwe na habari anazotaka yeye. Kwahiyo habari ikija haina anachotaka yeye basi anasema hakijaongelewa!
 
Kama hiyo mikutano unaifanyia chumbani kwako wew na mkeo sawa lakini mikutano ya Chadema watu wanaambiwa uhusiano wa maisha yao magumu na ccm na katiba mpya itasaidiaje kuwa kwamua watu kutoka mikono ya majambazi haya ya ccm
Mkuu,achana na hizo nzi za kijani . Zinaweza chooni tu
 
Balozi Mstaafu Dr Slaa amesema Hayati Magufuli alidanganywa na Mawaziri wake kwamba Marekani uchaguzi ukiisha Siasa zinahamia bungeni siyo mitaani

Dr Slaa amesema aliwahoji Mawaziri hao ambao ni Wanasheria nguli na Wakakiri kumpotosha Rais ila wanaogopa kwenda kumrekebisha

Source: Nipashe
Stupid, is marekani tanzania!
 
Dr Slaa kaanza kampeni ya kumsafisha Magufuli..Mungu wake...
Kwahiyo lawama ni Kwa mawaziri?
Kwahiyo Rais akidanganywa lawama ni Kwa walio mdanganya sio yeye???
 
Ulitaka mikutano ikupe nini? Ujinga umekujaa tu. Lengo la mikutano ni kuwapa raia Elimu ya uraia na kuwaeleza namba ccm ilivyodumaza taifa na kulifanya liwe maskini na ombaomba
Embu nidokezee Elimu ya uraia uliyoipata hivi karibuni?
 
Balozi Mstaafu Dr Slaa amesema Hayati Magufuli alidanganywa na Mawaziri wake kwamba Marekani uchaguzi ukiisha Siasa zinahamia bungeni siyo mitaani

Dr Slaa amesema aliwahoji Mawaziri hao ambao ni Wanasheria nguli na Wakakiri kumpotosha Rais ila wanaogopa kwenda kumrekebisha

Source: Nipashe
huyo mzee akitulia anapata shida gani. Mambo mengine ni ya uwongo, angesema wazi wakati wa uhai wa JPM. Aache unafiki hautamsaidia chochote
 
Sasa hivi mikutano inaendelea ili kutafuta tu majimbo. Hakuna anayekemea Tozo, maisha kupanda na wala wizi wa pesa za umma unaoendelea.

Mikutano ni wizi tu wa Kodi zetu
sio kila kitu tuwategemee wanasiasa wa upinzani kutusemea.wao wana mamlaka gani hapa nchini?rais yupo,waziri mkuu yupo mawaziri wapo.kwanini tusiwabane wao?
 
Kama mawaziri walimdanganya Magufuli, kwanini yeye hakumuambia Magufuli ukweli mwenyewe baada ya mawaziri kuonyesha wanamuogopa Magufuli? Au anadhani kazi ya kulinda katiba ni ya mawaziri tu? Awataje hao mawaziri waliompotosha Magufuli, kama aliweza kutaja majina ya list of shame, anashindwaje kuwataja hao mawaziri waliompotosha Magufuli, aache fix.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom