CCM imebakia na vikongwe na vijana wenye akili za vikongwe.. Wakilala na kuamka wao ni kauli na kutunga sheria kandamizi tu..Wakati kila siku wanaanzisha tozo kwa wananchi na kuhangaika na wafanyabiashara wa kariakoo kuhusu Kodi.
Wanajiona wao kuwa ndiyo kila kitu usishangae watu kama hao ndiyo wanakagua miradi ya serikali na kuwatishia wataalam kuwa watawafukuza kazi.
Umuhimu wa Katiba mpya Tz si jambo la mzaha! Ccm haina utu.Kwa jinsi huyu askari shupavu alivyo simamia uadilifu mbele ya kikao cha ccm siamini kama yupo kazini.
Hawa ndio watu wanahitajika kufanya kazi ndani ya jeshi letu maana nidhamu na ujasili wa kulinda maadili.
Tazameni alivyo simamia heshima ya jeshi lake la polis dhidi ya wahafidhina wa ccm.
Nampongeza sana huyu mpiganaji kwa kukataa kuburuzwa na wana siasa uchwara.View attachment 2636588
Hahahaha.....we jamaa feki kweli! Unalazimisha tu mpaka uiseme CDM, inahusikaje sasa hapa!!??Kaweke huo msimamo kwenye kikao cha Mbowe na genge lake uone kama utabaki
Inaonekana umebeba mimba yake Mr. Mbowe, mbona upo very bitter naye?,haipiti siku bila kuliandika jina lake humu,tatizo ni nini?,au unahitaji msaada usaidiwe?,Mr Mbowe ni mtanzania kama wewe, tofauti zenu za kiitikadi ni haki ya kikatiba ila wewe unaonekana una chuki binafsi na Mr.Mbowe why?,you need help inbox me au weka hapa usaidiweKaweke huo msimamo kwenye kikao cha Mbowe na genge lake uone kama utabaki
DuhKwa jinsi huyu askari shupavu alivyo simamia uadilifu mbele ya kikao cha ccm siamini kama yupo kazini.
Hawa ndio watu wanahitajika kufanya kazi ndani ya jeshi letu maana nidhamu na ujasili wa kulinda maadili.
Tazameni alivyo simamia heshima ya jeshi lake la polis dhidi ya wahafidhina wa ccm.
Nampongeza sana huyu mpiganaji kwa kukataa kuburuzwa na wana siasa uchwara.View attachment 2636588
Ccm wenye akili ni wachache mno na huwezi kuwakuta hukoHuyo jamaa wa ccm hana akili.
Hawa watu ndiyo wapo tayari kumteka mtu na kwenda kumtupa mabwepande kisa yeye ni cdmInaonekana umebeba mimba yake Mr. Mbowe, mbona upo very bitter naye?,haipiti siku bila kuliandika jina lake humu,tatizo ni nini?,au unahitaji msaada usaidiwe?,Mr Mbowe ni mtanzania kama wewe, tofauti zenu za kiitikadi ni haki ya kikatiba ila wewe unaonekana una chuki binafsi na Mr.Mbowe why?,you need help inbox me au weka hapa usaidiwe