Lakini sio makabila yote, usi generallizezamani kama hukupelekwa jando ungedharauliwa, hii ilikuwa kote kote wanaume na wanawake
Lakini sio makabila yote, usi generallizezamani kama hukupelekwa jando ungedharauliwa, hii ilikuwa kote kote wanaume na wanawake
NakubaliNiko sawa govinda mzoefu hapa![]()
najua kuna makabila hawapelekwi tohara na yanazaraulika kwa wanaume wao kutokupata toharaLakini sio makabila yote, usi generallize
Njema zaidi kwa chini ya miaka mitano.Inawezekana kwa mtoto wa miaka 10 - 13 ?? Maana nilisikia akishakua mkubwa njia hiyo haifai tena.
😂😂😂Uko hapa na umesema unalog off tena?
Ila jando siku hizi zimekufa nilienda bush ambapo sisi tulienda jando porini zaidi ya mwezi tunashinda huko huko haruhusiwi kukatisha mwanamke, sasa nilienda kipindi Cha karibuni nakuta ule utaratibu wa kuwapeleka jando za porini umekufa sasa wanawafungia tu majumbani wengine wanatahiri mmoja mmoja wakati kipindi kile ilikua wanatahiri kikundi Cha watoto wanakusanyika kutoka vijiji tofauti, tamaduni zinakufa, kwenye familia ni Mimi tu ndio nimepelekwa jando la KIUMe (porini) Simba anakatisha hapo wewe upo haponajua kuna makabila hawapelekwi tohara na yanazaraulika kwa wanaume wao kutokupata tohara
ile ndiyo ilikuwa tohara yenyewe sio hizi za siku hizi hazina mafunzo ya ushupavu wa kiumeIla jando siku hizi zimekufa nilienda bush ambapo sisi tulienda jando porini zaidi ya mwezi tunashinda huko huko haruhusiwi kukatisha mwanamke, sasa nilienda kipindi Cha karibuni nakuta ule utaratibu wa kuwapeleka jando za porini umekufa sasa wanawafungia tu majumbani wengine wanatahiri mmoja mmoja wakati kipindi kile ilikua wanatahiri kikundi Cha watoto wanakusanyika kutoka vijiji tofauti, tamaduni zinakufa, kwenye familia ni Mimi tu ndio nimepelekwa jando la KIUMe (porini) Simba anakatisha hapo wewe upo hapo
Ila jando siku hizi zimekufa nilienda bush ambapo sisi tulienda jando porini zaidi ya mwezi tunashinda huko huko haruhusiwi kukatisha mwanamke, sasa nilienda kipindi Cha karibuni nakuta ule utaratibu wa kuwapeleka jando za porini umekufa sasa wanawafungia tu majumbani wengine wanatahiri mmoja mmoja wakati kipindi kile ilikua wanatahiri kikundi Cha watoto wanakusanyika kutoka vijiji tofauti, tamaduni zinakufa, kwenye familia ni Mimi tu ndio nimepelekwa jando la KIUMe (porini) Simba anakatisha hapo wewe upo hapo
Sasa wakati wa kuhave sex wanapenetrate vipi ikiwa ni kama wana mbili hivo? DuhAwali niliona mbili nikajua ni maumbile, kucheki wa pili, tatu nao wanao mbili nikagundua ni aina ya ukataji govi linaviringishwa kwa chini na kuonekana ni mbili, ni kwa hao jamaa uliowataja
kuna member amejibu vizuri msome hapo juuSasa wakati wa kuhave sex wanapenetrate vipi ikiwa ni kama wana mbili hivo? Duh
Uzembe na uoga! 🙈🙈🙈Dear had 10 - 13 mtoto hajatahiri?? Why?
Mkuu, ebu ulizia kama na sisi wakubwa wanatoa hiyo huduma...??Nimekutana na hili tangazo kwa dokta fulani.
Naitaji kujua hii tohara ina utofauti gani na nyingine wakuu .tunataka kumtahiri dogo.
View attachment 2630407
Duuh wee mwenyeji fanya atahiri dogo janjaUzembe na uoga!![]()
Jinga kweli ww!!!Kama nilio fanyiwa Mimi enzi HZO, warembo wanasema Machine yang ni HANDSOME.
Bibi yake kashasema likizo hii anae, mi niendelee na woga wangu tu!!🫣😁Duuh wee mwenyeji fanya atahiri dogo janja
Kweli mkuu ile jando ni balaa aisee usiku Giza Nene mnatoka kibandani kumsindikiza mwenzenu kabanwa na haja kubwa mnakaa kumsubiri, msituni kule kuna nyoka wakali na wanyama wakali na wadudu wakali Kibanda ni Cha miti tu ya kawaida imekatwa na kujengwa kutoka kule kule Ila mitidawa, ujasiri mnaoupitia kule sio wa kawaida, Ila ndio hivyo zile tamaduni wanaziua taratibu tunaenda na usasa utandawazi unaharibu baadhi ya tamaduni zetu za asili,ile ndiyo ilikuwa tohara yenyewe sio hizi za siku hizi hazina mafunzo ya ushupavu wa kiume
baridi la porini si la kitoto maana kuota moto hurusiwi utapokea kichapo. Yako mengi ya kusimulia kwa kizazi hiki kisichojua tohara ya kiumeKweli mkuu ile jando ni balaa aisee usiku Giza Nene mnatoka kibandani kumsindikiza mwenzenu kabanwa na haja kubwa mnakaa kumsubiri, msituni kule kuna nyoka wakali na wanyama wakali na wadudu wakali Kibanda ni Cha miti tu ya kawaida imekatwa na kujengwa kutoka kule kule Ila mitidawa, ujasiri mnaoupitia kule sio wa kawaida, Ila ndio hivyo zile tamaduni wanaziua taratibu tunaenda na usasa utandawazi unaharibu baadhi ya tamaduni zetu za asili,
Acha kabisa kule hauendi na nguo ni shuka lako moja tu au Kitenge chako kimoja tu upewe na mama au upewe na Shangazi imetoka tayari unaingia Porini huna silaha yoyote ni wewe na kipisi chako na shuka lako, kukaa uchi na kutembea uchi kwenda kuokota kuni ni issue ya kawaida ndio maana walikua wanakataza wanawake wasije mapori yenye jando kuja kuokota kuni na kijana wa kiume km hujaenda jando kwenye tamaduni zetu ulikua unatengwa wanakutenga waziwazi bila kificho yaan kijana ambae haujaingia kwenda kutahiriwa wewe hutakiwi kujichanganya na vijana walioenda jando au hata wazee na watu wazima maana wewe unaonekana bado hakuna unalolijua kwenye hii dunia hujapitia msoto wa JANDO, Ila siku hizi huo utaratibu wameuua haupo tena huo utamaduni umekufa kabisa kabisabaridi la porini si la kitoto maana kuota moto hurusiwi utapokea kichapo. Yako mengi ya kusimulia kwa kizazi hiki kisichojua tohara ya kiume
Hujajibu swali nafikiri huijui tohara mpyaIla kuna tohara zingine za ajabu sana, kuna tohara govi linakusanywa chini ya dushe ukipona unaonekana una dushe mbili, nilikuta watu wanaoga mtoni nilishangaa sana kuona aina hiyo ya tohara. Hata ukeketaji wanawake nao upo wa ajabu vilevile. Kuna wengine wanakatwakatwa kwa kucharangwa, wengine wanabakishiwa nusu na wengine wanatolewa yote. Tohara za kawaida nazo ziko tofauti, wengine wana kidevu na wengine hawana, inategemeana na fundi wa kukata