Recent content by musangano

  1. musangano

    JamiiForums Tanzania Jalala katikati ya barabara ya mtaa

    Habari za saa hizi? Sisi wakazi wa Kihonda-Morogoro tunaomba mamlaka husika iondoe Jalala au Dampo lililowekwa na Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro katika eneo la Kihonda Kaskazini mtaa wa Azimio, miti mirefu. Jitihada zilifanyika kwa kuwasilisha malalamiko katika serikali za mitaa japo...
  2. musangano

    JamiiForums Tanzania Tusijisahau Arusha City wenyewe wanaitwa Waarusha!

    Mbeya ni wasafwa na kigoma ni wamanyema
  3. musangano

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini, hizi hapa chapati za shilingi 1.1 b

    Za chef asili Dodoma zinaweza fikia hiyo bei Sent using Jamii Forums mobile app
  4. musangano

    JamiiForums Tanzania Ni channels gani ya startimes unaipenda zaidi?Mimi napenda st plus......

    Hahahahahaha[emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. musangano

    JamiiForums Tanzania Ni channels gani ya startimes unaipenda zaidi?Mimi napenda st plus......

    ..murder calls, disappear, home alone, swamp murders..[emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. musangano

    JamiiForums Tanzania Ni channels gani ya startimes unaipenda zaidi?Mimi napenda st plus......

    Aisee ID ina addiction, naipenda sana. Ndio sababu pekee natumia star times, maana dstv kupata ID ni gharama Sent using Jamii Forums mobile app
  7. musangano

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji walioingia nchini kabla ya uhuru kurudishwa kwao

    Nadhani ulitaka kusema "baada ya uhuru" na si "kabl ya uhuru" Sent using Jamii Forums mobile app
  8. musangano

    JamiiForums Tanzania Kuna matatizo makubwa ya umeme PSPF Plaza Dodoma

    Walihama wana mwaka sasa. Pale wamebaki TAMISEMI Sent using Jamii Forums mobile app
  9. musangano

    JamiiForums Tanzania Kuna matatizo makubwa ya umeme PSPF Plaza Dodoma

    Nadhani una maanisha TARURA, ndiyo, zipo hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. musangano

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye uelewa kuhusu fao la uzazi PSPF baada ya mifuko kuunganishwa

    Ndo basi tena. Wanalipa mpaka wa Julai 31...wanadai hata wakirudisha hawatalipa wa nyuma wa kipindi cha transition
  11. musangano

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye uelewa kuhusu fao la uzazi PSPF baada ya mifuko kuunganishwa

    Halipo tena tangu mifuko iunganishwe
  12. musangano

    JamiiForums Tanzania Nitapataje Pesa zangu Kutoka paypal baada ya ku cancel order kutoka Ebay

    Itarudi ndani ya Siku 7. Imewahi kunitokea pia.
  13. musangano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utani wa kuitana gesti upo?

    Sheria ya ndoa ni miaka miwili sio miezi 3
  14. musangano

    JamiiForums Tanzania Local channels zaanza kuonekana bure katika Startimes

    Duh mbona week ya pili sasa. Unajua leo? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. musangano

    JamiiForums Tanzania Star times nao wamezima local channels, sijui nini kinaendelea

    Itakuwa hujalipa. Ukilipa unakamata
Back
Top Bottom