Ni channels gani ya startimes unaipenda zaidi?Mimi napenda st plus......

Kuna ile ya mingumi ya ST Sport Arena. Noma sana, sema saiz siangalii nimehamia kwa demu huku hakuna iyo kitu. 🤣🤣🤣🤣
 
:D:D:DKuna siku nilitazama moja usiku kuanzia saa nane nane..kwa bahati mbaya sikufunga mageti, asee wakati nikienda kufunga kila nikisogea mlangoni najiona kwenye kiooo aisee kidogo nife kwa pressure..nahisi kuna snipper ananichungulia kwa mbaaliii...:D:D
Ghost of Shepherds town..ungeangalia hii nafikiri ungezimia kabisa. Kabla ya hapo huwa wanaanza na evil lives here.
 
Ila Startimes dishi wako clear sana...yaani HD ya ukweli..nilishatumia awali...ila hawa Azam mmmh japo nimeunga waya wa HDMI lakini ni kwa baadhi ya channel ndio angalau..mfano Azam sports HD..lakini nyingine kawaida.
 
Back
Top Bottom