Nitapataje Pesa zangu Kutoka paypal baada ya ku cancel order kutoka Ebay

the great wizard

JF-Expert Member
Dec 21, 2015
1,482
882
Jana nilifanya Purchase ya Tv inch 50 Kwa euro 51 bahati mbaya seller alikua ni tapeli hapo ebay nikaamua ku cancel order
Captur11e.PNG

mpaka sasa nimesha nishamalizana na ebay kuhusu ku cancel order na pesa imetuma paypal
Capture222.PNG

Sasa tatizo ni kwamba Pesa ipo paypal lakini nashindwa kuitoa pesa hiyo
Pesa imekuja paypal kama unavyoweza kuona
Capt.PNG

Sasa Tatizo ni kwamba nashindwa kuitoa pesa hiyo kutoka paypal as you can see
Capture.PNG

Msaada ni jinsi gani nitarudisha pesa hiyo
 
kwa nnavyojua mpaka sasa hakuna means ya kuwithdraw pesa kutoka paypal kurudisha kwny account yako ya kawaida coz hawajaactivate aina hyo ya transaction kwa nchi zetu ila nakushaur tu utafute kingne cha kununua ununue mapema tu
 
Nimejaribu kununua kitu kingine ila imekataa
ertyture.PNG
 
Kama paypal umeconnect na card ya bank na saa ya kulipa hela ilitoka kwenye account yako ya bank, hiyo refund imeenda moja kwa moja kwenye account yako.

Angalia kama salio halijaongezeka kwenye account yako ya benki.
 
Ni sahihi pesa lazima irudishwe kwenye akaunti, Kama haijarudishwa wasiliana na benki waliyokupa kadi watafanyia kazi
 
Jana nilifanya Purchase ya Tv inch 50 Kwa euro 51 bahati mbaya seller alikua ni tapeli hapo ebay nikaamua ku cancel order
View attachment 950213
mpaka sasa nimesha nishamalizana na ebay kuhusu ku cancel order na pesa imetuma paypal
View attachment 950216
Sasa tatizo ni kwamba Pesa ipo paypal lakini nashindwa kuitoa pesa hiyo
Pesa imekuja paypal kama unavyoweza kuona
View attachment 950221
Sasa Tatizo ni kwamba nashindwa kuitoa pesa hiyo kutoka paypal as you can see
View attachment 950224
Msaada ni jinsi gani nitarudisha pesa hiyo
Kawaida ukirejister Paypal lazima uilink na
ATM VISA au Mastercard yako .

Kununua online lazima account yako iwe na hela Pesa itoke katika account yako kwenda Visa na Paypal na Seller account vyote hivyo vinafanyika within a second.

Ukiwa refunded seller atacredit account yako ktk PayPal na PayPal watarudisha pesa ktk Visa kwa Bank yako ikiwa na details za jina lako na account yako.

Unatakiwa ukopy statement ya paypal account ikionyesha refund details yako unaipeleka Bank yako wataingiza ktk account yako.

Kuhusu purchase ya TV vip ilikuwa nje ya nchi na transport Costs zake zikoje na ushuru wake naona na hii Blackfriday zimeshuka bei mpaka 50% uko US
 
Nunua kitu kingine chenye thamani sawa sawa na hicho ulichokuwa una nunua
 
Kawaida ukirejister Paypal lazima uilink na
ATM VISA au Mastercard yako .

Kununua online lazima account yako iwe na hela Pesa itoke katika account yako kwenda Visa na Paypal na Seller account vyote hivyo vinafanyika within a second.

Ukiwa refunded seller atacredit account yako ktk PayPal na PayPal watarudisha pesa ktk Visa kwa Bank yako ikiwa na details za jina lako na account yako.

Unatakiwa ukopy statement ya paypal account ikionyesha refund details yako unaipeleka Bank yako wataingiza ktk account yako.

Kuhusu purchase ya TV vip ilikuwa nje ya nchi na transport Costs zake zikoje na ushuru wake naona na hii Blackfriday zimeshuka bei mpaka 50% uko US
Tv haina uzito wowote inakuja free tu mzee.
 
Pesa itarudi kwenye AC yako baada ya siku kadhaa, usiendelee kuforce transaction kama ac yako haina pesa nyingine, itaonekana kama kuna fraud attempt na watakufungia ac yako utashindwa hata kutoa pesa kwenye ATM mpaka uende bank ukatoe maelezo ndio watakufungulia.
 
kwa nnavyojua mpaka sasa hakuna means ya kuwithdraw pesa kutoka paypal kurudisha kwny account yako ya kawaida coz hawajaactivate aina hyo ya transaction kwa nchi zetu ila nakushaur tu utafute kingne cha kununua ununue mapema tu
Pesa itarudi kwenye akaunti ya benki aliyotumia kulipia huo mwamala. Akaangalie statement yake
 
Pesa itarudi kwenye AC yako baada ya siku kadhaa, usiendelee kuforce transaction kama ac yako haina pesa nyingine, itaonekana kama kuna fraud attempt na watakufungia ac yako utashindwa hata kutoa pesa kwenye ATM mpaka uende bank ukatoe maelezo ndio watakufungulia.
Benki wameniambia mpaka jumatatu, ngoja nisubiri nitakupa feedback
 
Back
Top Bottom