Recent content by musakafangi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ndio hivyo tena, tumeikosa. Dangote

    Bag ni ya nini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

    Perambulate
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nina deal za FAFSA loans. Mwenye akounti m

    Mambo vipi wadau! 👋 Nimepata dili za mikopo ya FAFSA na sasa niko kwenye mchakato wa kuchagua akaunti nzuri ya benki (student checking account) kwa ajili ya kupokea hizi hela. Natafuta benki yenye huduma nzuri, isiyo na usumbufu, na inayofaa kwa mwanafunzi. Mnatumia benki gani ambazo hazina...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuelewane waungwana, kuna tofauti gani kati ya hizi style?

    Hizi chanjo za Covid zilituachia Madhara ya kichwa, muone huyu sasa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natamani nihasiwe, nipoteze nguvu za kiume

    Njoo Niko na nyundo kupasua huto tumayai
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, nimeachiwa jungu la pilau kwenye jiko la kuni

    Mamamba mpo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya Kazi: Mwalimu wa Kiingereza (Tanzania) 🇹🇿 🇰🇪

    Habari zenu! Mimi ni Mwalimu wa Kiingereza (English & Literature Teacher) kutoka Kenya, mwenye usajili wa TSC na Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education). Natafuta fursa ya kufundisha nchini Tanzania na niko tayari kuhamia (relocate) mara moja nafasi itakapopatikana. Sifa zangu kwa ufupi: •📑...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na Kenya

    Billionaire Aliko Dangote alichagua Kenya kwa sababu ya miundombinu bora, soko kubwa la mafuta, na bandari ya asili yenye kina kirefu kule Lamu. Uamuzi huu ulifikiwa baada ya ushindani mkubwa Tanzania
Back
Top Bottom