Recent content by musajohn58

  1. musajohn58

    JamiiForums Tanzania CRDB monthly manteinance fee from shs 1770 to 1888shs

    Bora hata wanaotunziwa mamilioni hawana hasara je sisi wakulima tunaotunziwa 20,000 huoni kuwa ni hasara kwetu???
  2. musajohn58

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I need a boyfriend

    Call me
  3. musajohn58

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ajira mpya za watumishi 52,436

    Haya bhana
  4. musajohn58

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inashinda sana vijijini kuliko mjini?

    Vijijini bado wako analogia mjini ndo digital
  5. musajohn58

    JamiiForums Tanzania NI SAHIHI KUITA BENKI YA NMB, NBC,CRDB N.K?

    Kazi
  6. musajohn58

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

    Sizani kama kuna mazao yanayivumilia ukame angali miti ambayo inasitawi mwaka mzima hata kipindi cha ukame inakufa kwa ukame, nakumbuka enzi za mweshimiwa JK kulitokea na njaa kama hivi na aliwasaidia wananchi kwa kuwagawia mahindi, Leo mweshimiwa rais asisaidie wananchi waliomuweka madarakani...
  7. musajohn58

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Kilio kisicho na machozi huko ni kulia au zarau???
  8. musajohn58

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaofahamu naomba mnisaidie

    Vip hali yake kwa sasa?
  9. musajohn58

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaofahamu naomba mnisaidie

    Vip hali yake kwa sasa?
  10. musajohn58

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaofahamu naomba mnisaidie

    Mke wangu alikuwa na ujauzito wa miezi 8 lakini cha kushangaza ilitokea tarehe 26 December akaanza kutokwa damu tu na tumbo kumuuma sana ndipo tulipoenda hospital kupata msaada ila sikuamini masikio yangu nilipoambiwa na doctor kuwa mtoto kafia tumbon ndipo doctor alifanya utaratibu wa kumtoa na...
  11. musajohn58

    JamiiForums Tanzania Tanzania kukopa trilioni 2.1 kutekeleza bajeti ya 2016/17

    Wananchi tunalalamika hela hamna kumbe hata serikali imecharara?! Ndo maana hawatoi ajira kumbe hela hamna.
  12. musajohn58

    JamiiForums Tanzania Je, Harmonize na Wolper Wameachana?

    Siku zote mwanamke aliyejizeekea na kujikatia tamaa na suala la mapenzi akipata ka kijana kanakopeleka mashine vizuri huganda kama kupe
  13. musajohn58

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanaume wenye vifua

    Kifua hakina ishu, ishu mchezoni na wingi wa magori nyavuni. Ndo raha ya Simba na yanga
  14. musajohn58

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serious man needed baadae awe mume

    Utasubiri sana hadi utazeeka hakuna namna ya kumpata kama huyo, uzuri uko ndani kwa nje mnajiongopea
Back
Top Bottom