Serious man needed baadae awe mume

Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam

Pm kwa maelezo zaidi

N:B Asiyekunywa pombe
... vigezo vingi zaidi ya interview ya kazi...
ila all in all hakikisha na wewe unakaribia ubora wa hyo mwanaume unayemtafuta sio unasema tu '' AWE TAYARI KUTOFANYA MAPENZI MPAKA MTAKAPOOANA''.... wakati wewe bikra wajanja washaitoa.... inakuwa haina maana hapo
best of luck
 
Aisee mbona wanaume mmepanic sana?? Mm sijalazimisha mtu nimeweka post na sifa za mtu naemtaka kama wengi wafanyavyo lkn nashangaa watu mapovuu
 
Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam

Pm kwa maelezo zaidi

N:B Asiyekunywa pombe
Download kwenye playstore utampata.

Siku njema
 
Unasema unataka ambaye yuko tayari kukaa bila kupiga pumbu mpaka mfunge ndoa..!!
Ww huyo uliye mfumania ulikaa naye bila kufanya mpaka mlipo funga ndoa?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom