NI SAHIHI KUITA BENKI YA NMB, NBC,CRDB N.K?

NI SAHIHI KUITA BENKI YA NMB, NBC,CRDB N.K?

Who cares....unataka waseme benki ya NM? Utawaelewa?
 
Walaalam = wataalam
Kuchanganya sio tatizo hapo. Mfano ukisema Barbara ya nyerere road ni Sawa kwa mtazamo wako? Sahihi ni kuwa majina kama CRDB ni nomino
kama ilivyoelezwa awali
Nawe ni great thinker? Unachanganya maneno ya kiingereza na kiswahli halafu unataka tutamke kam unavytaka we we? Hakuna makosa yyte yanayotokea hapo,tunaposema kwa kiswahili tunasahau kwamba majina ya hizi benk yanafupishwa kwa heruf ambapo ukitamka kirefu chake nyingi utasema kwa lugha ya kiingereza,. Bado tunasafar ndefu sana kwa kwel
 
Maneno ya urudiaji huo Yanaitwa uziada-dufu, Hayana madhara ktk lugha kwa sababu ni vibala huria visivyo badili maana ya neno,
 
CRDB ni registered name kabisa. Sasa unaposema CRDB sio kwamba unaelezea kitu (KIELEZI), bali unataja jina kabisa (NOMINO). Ukitoa herufi moja hapo utakua haumanishi hii benki, bali kitu tofauti

Mfano Uwanja wa Ndege wa Dar unajulikana kama Julius Kambarage Nyerere International Airport (JKNIA), ni jina lililotimia kabisa na limesajiliwa hivyo, utakapokua unalifupisha au kuondoa herufi moja basi utakua unamaanisha kitu kingine
Nawe umeongeza neno Kambarage ambalo halipo uwanja unaitwa Julius Nyerere International Airport(JNIA)
 
"Napendaga sana kuimbaga kwaya ya kanisani"". Mnyakyusa mungu anakuonaa
 
Ni sahihi kabisa... CRDB AU NMB BANK OR NMB PLC NI REGISTERED NAMES HUWEZI BADIRISHA. KIREFU CHA CRDB ZAMANI NI COOPERATIVE RURAL DEVELOPMENT BANK KITU AMBACHO HAKUNA TENA BANK YENYE KIREFU HICHO. KWENYE ACCOUNTING KUNA KITU KINAITWA GOODWILL UKIKIELEWA VIZURI MTOA MADA USINGETOA UZI HUU
 
Upo sahihi kabisa. Ni makosa ambayo yanafanyika sana kiasi kwamba imezoeleka na kuonekana ni sahihi.
Kosa lingine ni kusema "mashine ya ATM".
Hakuna makosa kuita Benki ya NMB kwani jina la benki hiyo liliosajiliwa kwalo japokuwa ni kifupisho cha National Microfinance Bank ni jina ambalo limesajiliwa kibiashara kwa jinahilo yaani "NMB BANK" hata hao CRDB BANK NK. hivyo uko sahihi kabisa
 
Wako sahihi.. Maana NMB, CRDB, NBC etc ni majina kama ambavyo we unaitwa Elifance, sasa usitake watu Waite bank ya NM.. bank ya NC.. Bank ya CRD.. Hizi zitakuwa bank zako Ila bank ya CRDB.. Bank ya NMB etc zipo
 
CRDB ni registered name kabisa. Sasa unaposema CRDB sio kwamba unaelezea kitu (KIELEZI), bali unataja jina kabisa (NOMINO). Ukitoa herufi moja hapo utakua haumanishi hii benki, bali kitu tofauti

Mfano Uwanja wa Ndege wa Dar unajulikana kama Julius Kambarage Nyerere International Airport (JKNIA), ni jina lililotimia kabisa na limesajiliwa hivyo, utakapokua unalifupisha au kuondoa herufi moja basi utakua unamaanisha kitu kingine
Ulichokieleza ni sawa kabisa inaitwa CRDB BANK PLC ambapo ukileta kwa kiswahili ni benki ya CRDB,
 
' Mafuta nawekaga Sheli ya BP' [emoji12][emoji12][emoji12]

'Chama cha CCM Wezi'

Mie Siku hizi Napanda ma Basi ya BRT'

'Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu ni Mchapakazi sana'
 
Yani we umekosa kazi ya kufanya mpaka unaanza kuwaza kuhusu majina ya benki??? Boya kwel ww!!
 
Yani we umekosa kazi ya kufanya mpaka unaanza kuwaza kuhusu majina ya benki??? Boya kwel ww!!

Ukiona hivyo ujue salio halitoshi walau kuuliza Account balance![emoji3][emoji3][emoji3]
I.e tafadhali nipigie ya bank pia haiwezekani
 
Haya.mambo yapo huwezi zuia yameenea tayar
Ni kama hivi vitu
Shell..
Kiwi
Unga wa flour
Biki..hata kwa kiswahili sijui pen inaitwaje kwakweli??


Misimu.hiyo tunapambane na.hali yetu..nwdays limeongezska lingine

LUSEKELO=konyagi
Au
Jizee la.upaka=jipaba

Ndio mfumo wanaa
 
Back
Top Bottom