Recent content by Musa Hasan Kopwe

  1. Musa Hasan Kopwe

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    Pole Paka Jimmy. Innalillahi wainnailahi rajiun
  2. Musa Hasan Kopwe

    JamiiForums Tanzania Dar kuna nini? Vijana wa kiume wa kazi na mahusiano na wamama/wake za watu

    Aise tupo busy na afya zetu tunashindia matunda na maji
  3. Musa Hasan Kopwe

    JamiiForums Tanzania Daily Nation : Kilimanjaro is in Tanzania,Because Mombasa is in kenya

    Nipe nikupe katika negotiations kati ya Waingereza na Wajerumami. Wajerumani waliokuwa wanatawala Tanganyika walikuwa wanaupenda sana Mlima Kilimanjaro (ndio maana majina mengi kule juu Mlimani mpaka sasa ni ya Kijerumani). Katika Anglo-Germany Treaty au pia inajulikana kama Heligoland-Zanzibar...
  4. Musa Hasan Kopwe

    JamiiForums Tanzania Manji ameipa klabu ya Yanga SC hekari 715 Geza Ulole

    Amewapa na documents ie title deeds? Wamesaini mkataba wa kuhamisha umuliki? Au wameoneshwa mipaka tu wakaambiwa kuanzia leo ni mali yenu?
  5. Musa Hasan Kopwe

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

    Mimi nakubaliana na Ginner. Mambo makubwa anayoyaeleza: 1) tufuge kuku chotara 2) biashra ya mayai ya kuku kienyenyi au chotara sio biashara nzuri, 3) tunaweza kuapata faida zaidi kama mfugaji atatotolesha mayai ya kuku chotara kwa mashine ya kutotolea vifaranga (incubator). Mimi ni mfugaji wa...
  6. Musa Hasan Kopwe

    JamiiForums Tanzania If you don't support gay rights you wont get visa to enter US

    Trump is expected to propose creating a new, ideological test for admission to the USA that would assess an applicant's stances on issues like religious freedom, gender equality and gay rights
Back
Top Bottom