technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,695
- 52,318
Tupo na mlima Kilimanjaro kwa sababu wapo na Mombasa wakitaka mlima Kilimanjaro watupe Mombasa na bandari yao.
Kama Kenya wangetaka kupata mlima Kilimanjaro ingebidi wapoteze Mombasa.
Ambapo mpaka sasa wangekuwa hawana bandari mizigo yote wangepitishia Tanzania wangekuwa hawana mahotels mazuri ya watalii ambayo yapo Mombasa .
Tusipotoshe ukweli kilichowekwa kwenye kadi ni ubunifu tu wa designers wakenya wanao tamani mlima uwe wao lakini ukweli wanajua kuwa mlima ni wetu watanzania kwa sababu Mombasa ni yao.
Tuwe wabunifu kidogo kwenye utalii kipindi hiki cha sikukuu Kenya upata watalii wengi wa nje na ndani ya nchi kwa sababu ya ubunifu.
Kuongeza kodi kwenye utalii pekee bila ubunifu wa kuvuta watalii wengi waje sioni kama ni njia sahihi na kuanza kulalamika .
Tanzania kumbuka tupo kwenye globalization kulalamika sio njia tena ya kupambana na matatizo yetu .
Tupinge kwa umakini Sera mbovu za viongozi wetu waliolewa madaraka tuwape solution.
How Kilimanjaro ended up in Tanzania
Happy new year 2017.