Recent content by MUROKOZI

  1. MUROKOZI

    Ninatoa ushauri wa bure wa mambo ya Tehama

    Naweza kufanyaje kuset IP address kwenye computer? Je, tatizo la internet kwenye computer sababu ya IP address kukosekana? Maana computer mpya Ila internet haikubali
  2. MUROKOZI

    I was searching for you for so long finale i got you

    Haha haha CHOKOLETIIIIIII Sent using Jamii Forums mobile app
  3. MUROKOZI

    Mrejesho wa mwezi mmoja baada ya kuacha kazi

    Hongera Sana ndg Keep it up
  4. MUROKOZI

    Naomba msaada jinsi ya ku upload documents kwenye website ya OTEAS

    Naomba Msaada ni miongoni mwa wanaoapply Nafasi mpya kwa walimu wa kiingereza.
  5. MUROKOZI

    Naomba msaada jinsi ya ku upload documents kwenye website ya OTEAS

    Wapendwa wangu napata shida ku upload documents yaani barua na vyeti vyangu kwenye website ya OTEAS http://196.43.65.187 Naomba kwa yeyote mwenye namna ya kunisaidia maana kila nikijitahidi haviendi. Natanguliza Shukrani.
  6. MUROKOZI

    Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    ASANTE SANA KWA MSAADA NIMEFANIKISHA NASHUKURU SANA. MUNGU AKUBARIKI SANA.
  7. MUROKOZI

    Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    naweka hii app kuhusu resize nimefanya mpaka yamebaki macho tu bado inagoma
  8. MUROKOZI

    Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    niki upload inasema The image "IMG_20180606_162552[1].jpg" is too large. The width cannot be larger than 150 pixels.
  9. MUROKOZI

    Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Halo wapendwa jamii forums nimepata shida sana yapata siku ya tatu sasa nipo nafanya application kuomba mkopo elimu ya juu. shida ni ku upload picha kwenye website ya loan board application system. naomba msaada.
Back
Top Bottom