katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Nimekutafuta mpenzi miaka mingi sijawahi kumpata mtu mtamu kama wewe nikiwa karibu nawewe moyo wangu unashtuka nasisimuka .
I love you sina mwingine nimefika kwako nasitotaka kamwe kukuacha.
Ninapokufungua harufu yako inanipa hamu ya kula na kuendelea kula tu bila kuacha kula.
Sijawahi ona kila mahali popote pale utamu kama huu unaonipa naburudika sana niwapo na wewe.
Unajua chocolate ni kitu kitamu sana.
Kitamuu mpaka nikiwa nakula napata hamu kabisa .
I LOVE U CHOCOLATE
Sent using Jamii Forums mobile app