hawa ndiyo waliomuweka jk mjengoni,mbinu zote za kimafia wanazijua,`system`yote wanaijua nao wako ndani,kosa kubwa sana walilofanya ccm,siwatetei mafisadi ila chama ndiyo kilichowajenga hivyo tusubiri tuone moto ukiwaka na cheche zake ni mbaya kupita kiasi.usimwone kobe kainama kakaa kimya...