MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 9,654
- 13,842
Una ushahidi ? Watu wengine mnaitafutia serikali lawama ,wangapi wamesema makubwa ndani ya bunge na hadi hii leo wapo ,yaani ukiwa bungeni huwezi kufikiwa na kifo au na maradhi ya ghafla na kupoteza uhai ???
Vp ndugu nani kaisema serikali?