Recent content by Mumlii

  1. Mumlii

    KERO Sarafu za Sh. 100 na 200 zimepotea mtaani

    Yaan sku ya mzunguko wa biashara n kazi unatembe kutafuta buku buku kweli
  2. Mumlii

    Sikuwahi kutegemea kama punyeto inaweza kutambulika kama janga, najiuliza, vijana wa kisasa wame-overdose au mitandao ndio ime expose?

    Mm nina mpenzi ana piga punyeto yaan nlikua siamini sku nashuhudia yaan nlisema, stalomba naye tena aendelee na nyeto zake afu anajisfia eti, yaan anaona raha mm nikajuaga hata wanaficha ili wanawake wao wajue kumbe n wazi wazi tena , kuna mda ukurya ukiniingia nataman nimlambe makofi yaan
  3. Mumlii

    GE2025 Baba Levo: Oktoba 28 hakutakuwa na Kampeni naoa, nitauliza serikali kama watu wangu kula wali na nyama siku ya harusi yangu ni Rushwa?

    Sa mbona ss mbunge kulisha watu n kitu cha kawaida kila mwaka mpya, unabebwa kutoka mjini mpaka kwake huko bure jimbo zima linalishwa, na sa hv tena anaomba kula sku ya walimu duniani ndo alilisha watu balaa mpaka wakakesha wanakula, hyo tarehe 3/10.
  4. Mumlii

    Veta-kahama

    Za jioni Hv hapa kuna short course za food production ama food beverage services and sales
  5. Mumlii

    Short course

    Habari, Hii course Plumbing and pipe fitting mwanza n chuo gani kizuri ambacho, n day
  6. Mumlii

    Wimbi la watoto kuvuta sigara na Wanawake kujichubua linatisha

    Kwenye swala la kujichubua ndugu hata watoto wa under 18, yaan wengi sana na wengi wao hawajui madhara ya maji ya diproson mm nina mfano hai my mama nlikuwaga namwambia yaache hayo, anasema spendezi sasa hv kuona n shida mno yaan ndo ameviacha sa hv, nq umri ushaenda snaa, watu hawana elimu ya...
  7. Mumlii

    Tupike kashata za nazi

    Okay
  8. Mumlii

    KERO Waziri mwenye dhamana aingilie kati. CRDB imeshindwa kuhudumia Watanzania

    Jana s tulimuona mkurugenz wenu wa crdb anasema n mifumo sjui ya nchi tatu, mambo yako sawq
Back
Top Bottom