RAIS amateua mwenyekiti wa BOARD ya NBAA (T) NI karibia miezi 2 sasa. ILA MWIGULU hajateua Wajumbe mpaka sasa
swali wake mwingulu
ni dharau kwa mamlaka za uteuzi au anasubiria mpaka wapatikane wale wa lile kabila km walivyozoea kipindi cha shujaaa wa africa
MADHARA YANATOKANAYO NA...
National Board of Accountants and Auditors Tanzania ina bodi ambayo huteuliwa na Rais wa Nchi. Kwa bahati mbaya sana imekuwa kawaida sasa kila ikimaliza muda huchelewa kuteuliwa nyingne na hiii imekuwa ikichelewesha kutolewa kwa matokeo yake ya mitihani husika. Kwa mfano mwaka 2017 na 2018 Bodi...
CPA HAISOMWI
cpa ni cheti cha utambulisho
Ndo mana hata mitihani inaandikwa NBAA EXAMS
haiandikwi CPA EXAMS
anzia hapo kwanza kujua unasoma nn ?
Ukielewa hivyo omba ushauri sasa
usijiroge kwenda hicho chuo atajuta hilo lichuo walimu waliopo hawajui chochote mfano mzuri kuna mwalimu ambaye anajiita phd holder anafundisha accounts ila hata definition ya financial accounts hajui, then wanafunzi ni mwanzo mwisho kuhonga na kuiba paper km paper usimshauri kwenda mm nalijua...
Lowasa n mabadiliko na manadiliko n lowasa kauli mbio ya ukawa na ccm hapa kazi tu
Ipi inataja jina la mtu na ipi inamfanya mgombea kuwa yy ndo yy bila yy hakuna chochote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.