Rais Paul Kagame ndie Rais bora kwa sasa

mkuu,unamsifia mtu anayetuma majasusi wake nje ya Rwanda ili wakamuue mnyarwanda kisa tu ametofautiana nae kimtazamo? (rejea alichokifanya afrika kusini).anawasaidia waasi wa DRC na sasa anatuhumiwa kuwasaidia wapinzani wa Nkurunzinza.
ana historia mbaya ya kuwamaliza wapinzani nchini mwake.bado unamsifia?
 
tulia mkuu mbona unasahau ulipo kulia mambo yako kule
 
mkuu uko sahhih embu shusha unayoyajua kuhusu huyu bwana na mimi nishushe yangu ili twende sawa maana unataka kuniambia sina nachokijua. mimi nimeandika kwa kifupi nikianza kuandika nadhani patajaa hapa lakoni kwa kuwa wewe unajikuta mjuaji basi anza yako kuhusu huyu bwana na mimi nilete yangu mana mimi sipendagi upuuzi
We unayajua yepi kuhusu huyu kagame? na
mkuu uko sahhih embu shusha unayoyajua kuhusu huyu bwana na mimi nishushe yangu ili twende sawa maana unataka kuniambia sina nachokijua. mimi nimeandika kwa kifupi nikianza kuandika nadhani patajaa hapa lakoni kwa kuwa wewe unajikuta mjuaji basi anza yako kuhusu huyu bwana na mimi nilete yangu mana mimi sipendagi upuuzi
Umekili hupendi upuuzi sasa humu jf kuna watu wenye uweled nzuri hivyo usilete uzi kabla hujajiridhisha na unachokileta. Nikuulize kitu na nataka unanijibu kwa nini kagame alipoondoka Rwanda kwenda marekani kwenye mafunzo ambayo nayaita ya "kisanii" ambayo museveni anayajua lengo ni kitu gani baada ya mda tu Maj. gen. Rwigyema akauawa kwa risasi na lt kato na kuzikwa na askari 4 akiwemo yule wa kike na walikuwa ni nani? na pia yule ndugu ya lt kato kwa nini aliuawa baada ya kujua siri ile, usipojibu hili toa huu uzi kwenye jf halafu tafuta mda nje ya jf nikuelimishe
 
mkuu,unamsifia mtu anayetuma majasusi wake nje ya Rwanda ili wakamuue mnyarwanda kisa tu ametofautiana nae kimtazamo? (rejea alichokifanya afrika kusini).anawasaidia waasi wa DRC na sasa anatuhumiwa kuwasaidia wapinzani wa Nkurunzinza.
ana historia mbaya ya kuwamaliza wapinzani nchini mwake.bado unamsifia?
Mkuu unajua hili la kushirikiana na kagame litatuchafua sana kwa majirani zetu sababu hyu mtu sio siri hata wanyarwanda wanamjua ananuka damu za watu na pengine sina uhakika pengine wanatushangaa
 
Mwaka jana alipo kua na mgogoro na JK mlichafua sana uyu bwana na mkampinga sana leo kawa rafiki wa mweshimiwa mmemfanya kuwa rol model wenu!!! Tanzania haiishi miujiza
 
Kawauleze Congo Na Burundi Na South Africa wanamjua vizuri pia JK anamjua vizuri ndio mwanasiasa Tanzania pekee anayezielewa siasa za kimataifa vizuri kwa kuwa anamahusiano na viongozi wengi duniani kuliko rais yoyote E Afrika unadhani kwa nini aliamua kumshauri Na kg akajibu matusi Na dharau kama ni Kiongozi Bora kwa nini asiachie madaraka awapishe wenzake ajipime ubora wake Na wenzake ?
 
Wewe ni mshabiki tu na nimeona usivyojua kitu na ulivyo mweupe kwenye history ya kagame tangu alipokuwa belgium na aliingiaje madarakani baada ya kufanya njama na kumuua bosi wake Major Gen. Fred Rwegyema kwa kumtumia sniper lt kato, na hujui hata huyu rwegyema pia alikuwa kwenye jeshi la ukombozi wa uganda wakati huo museveni alikuwepo pia ambalo lilishirikiana na jeshi la Tanzania kumfukuza id amini na pia hujui kwa nini jeshi la Rwanda lilishirikiana na uganda kuvamia wakati ule nchi inaitwa zaire kumng'oa Joseph wazabanga mobutu seseko. halafu leo jpm bila kujua anashirikiana na kagame wakati mtu huyu ni mjanja sana na hawezi kumsaidia kitu. Nakushauri nenda kwa mzee wa msoga ambaye pia alikuwa mjeda na anamjua vizuri kagame. Kama hujui kitu nakushauri kaa kimya
Kagame ameshaishi Belgium lini? mbona unakua na uongo wa kijinga
 
lakin kuna sehemu hapo juu nilisema ni hatari. mtu kama huyu usimruhusu sana kuingilia ndani mambo yako
 
Kagame ameshaishi Belgium lini? mbona unakua na uongo wa kijinga
Asante kumbe hujui angalia history ya kagame wakati anaingia ubelgiji na matatizo ya Rwanda ni kagame kukubali kuwa mtumwa wa belgium na wanamlinda kuhakikisha hatoki madarakani kwa ajili ya drc
 
Asante kumbe hujui angalia history ya kagame wakati anaingia ubelgiji na matatizo ya Rwanda ni kagame kukubali kuwa mtumwa wa belgium na wanamlinda kuhakikisha hatoki madarakani kwa ajili ya drc
Aisee we jamaa!! kuna nchi kagame ana bifu nao kama BELGIUM & FRANCE acha ubishi ka ngozi ya mbupu kwenye vitu usivyo vijua.
 
Asante nakupa la ziada yote anayofanya kagame na jpm museveni anayajua vzr sasa subir tutaisoma wote namba
 
Wewe ni mshabiki tu na nimeona usivyojua kitu na ulivyo mweupe kwenye history ya kagame tangu alipokuwa belgium na aliingiaje madarakani baada ya kufanya njama na kumuua bosi wake Major Gen. Fred Rwegyema kwa kumtumia sniper lt kato, na hujui hata huyu rwegyema pia alikuwa kwenye jeshi la ukombozi wa uganda wakati huo museveni alikuwepo pia ambalo lilishirikiana na jeshi la Tanzania kumfukuza id amini na pia hujui kwa nini jeshi la Rwanda lilishirikiana na uganda kuvamia wakati ule nchi inaitwa zaire kumng'oa Joseph wazabanga mobutu seseko. halafu leo jpm bila kujua anashirikiana na kagame wakati mtu huyu ni mjanja sana na hawezi kumsaidia kitu. Nakushauri nenda kwa mzee wa msoga ambaye pia alikuwa mjeda na anamjua vizuri kagame. Kama hujui kitu nakushauri kaa kimya
Wewe mbona ndo hujui historia ya kagame? Hivi ni kipindi gani alikua Belgium?
 
Naomba mnijuze population ya Rwanda then ndo nikoment
Wakuu, mimi mnyarwanda. Nimeona comments kibao badhi mnamponda Kagame, wengine wanamsifia. Nyote nawapeni big up, kwa sababu kila mmoja ana lake analolijua. Ila napenda tu niwwaeleze kitu kimoja.Hamna kiongozi mkamilifu;kwa sababu lazima kila siku kutakuwa na pande mbili, wanaomuunga mkono na wapinzani. Hivyo, unategemea mpinzani atamuelewaje! Kwa upande wa Rwanda, jameni, acheni, nyie hizi ni habari mnazozisikia, na muombe yasiwakute. Na kwa kifupi asingekuwepo hadi leo hii Rwabda damu ingekuwa inamwagika dakika hadi dakika.Mauaji yalikuwepo toka miaka ya 1959, ili waliwowaita watutsi waangamie na kila mtoto atakaezaliwa alitakiwa awe anaulizia hilo kabila lilikuwa la aina gani! Na isitoshe, waliokuwa wakishiliki mauaji hayo, hata wao walikuwa wanakumbwa na mkasa huo. Sasa unataka kuniambia ni nani alifaidi katika mauaji hayo wakati aliyekuwa anaua na yeye alikuwa alikuliwa? Kazi kubwa aliyoyifanya sasa, unadhani leo hii umoja wa wanyarwanda umetoka mbinguni? Unajua aliyeua na aliyeuliwa leo hii waepatana mpaka watoto wao wanaoana! Hilo jambo kwenu haliwezekani, ila Rwanda limewezekana! Halafu, hajaja kama kiongozi ambaye ana hamu sana na mali ya uma, bali amejitahidi kuuonyesha ulimwengu kwamba utu ndo mhimu zaidi ya utajili.Utapinga sawa, lakini ukiongea na walengwa ndo watakwambia faida yake. Hivyo basi, kama dicteta sawa, sababu ukitaka uongoze vichwa zaidi ya milioni kumi kwa matakwa ya kila mmoja utafika wapi!? Lazima mmoja aonewe ili angalau 100 wasalimike. Na nyie kumbuka wewe unayechat hapa, kuna zaidi ya milioni hata simu hawajaigusa! Jamani, na wao binadamu na wana haki sawa na wewe.Hivyo basi, kubalini ushauli wake, muuchambue muone kipi kina faida kwenu.Mkiona kuna jambo la kuwasaidia, fuateni ushauli wake.Japo mi najua kwa mwendo wa Rais wenu baada ya miaka 5 mtaona faida ya udikteta wake.
 
Kila mtu anaweza kusema Rwanda inafanya vizuri kiuchumi, lakini sidhani kama Rais Kageme ni bora. Kuliko nani? Wengine tunajua kwa nini unajaribu kujenga hii hoja yako, lakini kwa taarifa yako, hata Ujerumani ilipata maendeleo ya haraka sana chini ya Hitler. Je na yeye tuseme alikuwa bora sana wakati huo?
 
ukimuacha Muamar Gaddafi huyu mjeda anafaa kufata sijaona mtu shujaa kama yeye kwa sasa tunaona nchi yake inavyoendelea. alivyotoa msaada mkubwa kwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni hadi kuingia madarakani na pia kupewa cheo cha senior commander wa intelenjinsia Uganda ni cheo kikubwa sana ikizingatiwa yeye alikuwa Uganda kama mkimbizi. akapigana rwanda genocide na akasema kama vita haitaisha ataendeleza civil war na hatimaye ikaisha. akawa makamo wa rais na pia waziri wa usalama chin ya Rais pasteur Bizimungu aliejiuzulu baadae baada ya kuona hana nguvu katika serikali.

Huyu jamaa ana akili bana na anaona mbali hiki kichwa ni chakuogopa mno.

kaweza kuleta amani Rwanda na kuifanya kukua sana kiutajiri na kusaidia kuondoka utawala wa diktete wa muda mrefu wa Zaire seseseko mobuto kwa kushirikiana na Uganda.

Naweza kusema huyu ndie shujaa wangu wa sasa baada ya kuuawa kwa babu yangu colonel Gaddafi. na sasa Wananchi wa Libya wanaona dhambi ya usaliti kwani Gaddafi kawatoa mbali mno ikiwa ni pamoj na kupigana na nguvu zote kupinga wanyonyaji/wazungu na wamarekani.

Siku zote ukiwa kamanda wa kweli utapambana hadi mwisho.

Nampongeza huyu PK.

Kama mwanaume inapaswa upambane bana na ubaki katika kitu unachokiamini.

Hongera kagame ila nakuogopa sababu una mbinu za kivita na akili nyinyi na ndivyo inavyopaswa kuwa nakuheshimu mzee.

Achana na hawa watu uchwara wanaoendekeza ngona na starehe huku wanauwa wananchi wanafiki tuu hawa.

Rwanda ipo hapo ilipo sababu ya jitihada zako mkubwa.
Huyu ndie dikiteta bora
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom