Hua nikikumbuka hiki kitu hua makosa jibu, CCM kweli kubalini mlizidiwa.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Hivi wakati wa uchaguzi mkuu uliopita Oct 2015 CCM Waliwaza nini mpaka kuiga nembo ya M4C ya Chadema na wao M4C ya magufuli for change? Huu ndio uthibitisho mwingine kua CCM walikua mahututi kisiasa wakati wa kampeni.

Mmh, maji yalifika shingoni mpaka kuamua sasa kuiga mawazo na ubunifu wa Chadema! Inamaana CCM Walikosa mtu wa kua na mawazo ya kubuni kipya badala ya kuiga? Nikifikiria hii kitu ndo hua naamini Chadema w alishinda uchaguzi mkuu uliopita, ila kina Jecha wakafanya yao.
 
Attachments

  • 11821127_872317242845848_654337705_n.jpg
    11821127_872317242845848_654337705_n.jpg
    30 KB · Views: 106
  • 1-1.jpg
    1-1.jpg
    13.5 KB · Views: 64
Kwani ulikuwa hujui kuwa wakati wa kampeni mwaka jana chama kikongwe nchini CCM kilikuwa 'tia maji tia maji' hadi Magu akalazimika achukue hatua za dharura za kujirescue na kuamua ajinadi kwa kutumia jina lake na aachane na kujinadi kwa kutumia chake kilichokuwa kimeishiwa kabisa pumzi na hicho kilichosababisha 'kuzaliwa' kwa hiyo slogan ya Magufuli 4 Change?
 
Naamina 2020 M4C ya CHADEMA itapata mara dufu ya kura za mwaka 2015.
Wakati ile ya CCM itaporomoka. Mana hii ndiobilikia risasi ya mwisho.

Mungu alikua na makusudi makubwa sana kuwaacha CCM wafanye walichofanya.

Bila shaka hawa watu wanaopiga marufuku mawazo ya watu wengine wangeshindwa leo hii taifa letu lingekua kama Somalia kwani walikua hawako yayari kuona mtu wa chama kingine ndani ya ikulu akichukua maamuzi magumu.

Lakini mpaka kufikia 2020 hata wao wenyewe matazamio yao yatatoweka na watakuwa tayari kutawaliwa na mawazo mbadala kwani waliyotarajia yawanufaishe yatakua yameisha.

Kwa sasa wananchi walioumizwa na kodi hawatakua tayari kuona kodi yao ikichezewa kwa kununua kanga na kofia ukizingatia mpaka 2020 nchi zote wahisani watakua wamejitoa kabiasa hata kutoa chandarua. Na tutakua tunajitegemea kwa kila kitu basi wananchi watakua wamenyooka na watakua makini na hawatakubali kuchagua chama na mgombea anayehonga kwa kutumia kodi ya wanyonge.
CCM ianze tu kujiandaa kisaikolojia kwani Magufuli hana mchezo na rushwa na hata kubali kuchezea kodi ya wanyonge ili abaki madarakani .

Watanzania sio kwamba waliikubali CCM bali walikwamini M4C wao na kumtwisha dhambi zao zote.

Ndoto zangu kuanzia mwezi wa 4 zilinionyesha kuwa ile photo copy ya M4C inaporomoka umaarufu kwa kasi pamoja na kutumia nguvu kubwa kupata umaarufu.
M4 C original bado iko kwenye mioyo ya watu japo hawana Katibu mkuu. Amebakia Kijana Sosoppi kwa sasa ndiye anayeendesha CDM.

Huyo Sosoppi ndiye mkombozi wa fikra za watanzania kwa sasa. Mungu amlinde huyo kijana . Watanzania chini ya CCM na serikali yake wataendelea kudanganywa kwa kuhuisha miili yao na kufisha fikra zao.
 
Hawakuiba nembo tu mpaka kura waliiba.
Ndiyo sababu iliyofanya wale vijana wa Chadema waliokuwa wakifanya majumuisho ya kura wakamatwe na Polisi.

Lakini cha ajabu kabisa wenzao wa CCM ambao nao walikuwa wakifanya majumuisho ya kura hizo hizo pale Mlimani City, chini ya 'maelekezo' maalum ya January, Polisi hawakuwagusa!
 
hvi ni nani aliyekuwa ameishiwa zaidi, hata kusimamisha mgombea wa urais alikuwa hana mpaka akasubiri KAPI LILILOKATWA kutoka kwa mwenzie ndo na yy akaja kulifanya kuwa mgombea wake wa urais? hahaha eti CCM waliishiwa hv unaakir ww? watangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM walikuwa zaid ya 35 akiwemo na hilo kapi lenu, but UKAWA hakuwahi kuwa na kitu kama hicho, yaan mliazima mgombea kutoka ccm haraf mnasema ccm waliishiwa!!?
 
Wewe kwa sababu unaelewa hivyo ndio maana unasema hivyo! Lowassa alishaandaliwa muda mrefu sana kugombea urais kupitia Chadema. Alishazijua vizuri fitina na majungu ya CCM mapema, kukaribishwa ilikua ni kumalizia shughuli tu! Rejea maneno ya Mchungaji Gwajima na Dr Slaa ufahamu Lowassa alikaribishwa Chadema lini.UKAWA kulikua na wagombea wengi sana ambao ni National political figure, hivyo kusema alikosekana mtu wa kugombea urais ni hisia zako tu.
 
Kwani ulikuwa hujui kuwa wakati wa kampeni mwaka jana chama kikongwe nchini CCM kilikuwa 'tia maji tia maji' hadi Magu akalazimika achukue hatua za dharura za kujirescue na kuamua ajinadi kwa kutumia jina lake na aachane na kujinadi kwa kutumia chake kilichokuwa kimeishiwa kabisa pumzi na hicho kilichosababisha 'kuzaliwa' kwa hiyo slogan ya Magufuli 4 Change?
Lowasa n mabadiliko na manadiliko n lowasa kauli mbio ya ukawa na ccm hapa kazi tu

Ipi inataja jina la mtu na ipi inamfanya mgombea kuwa yy ndo yy bila yy hakuna chochote
 
Hivi wakati wa uchaguzi mkuu uliopita Oct 2015 CCM Waliwaza nini mpaka kuiga nembo ya M4C ya Chadema na wao M4C ya magufuli for change? Huu ndio uthibitisho mwingine kua CCM walikua mahututi kisiasa wakati wa kampeni.

Mmh, maji yalifika shingoni mpaka kuamua sasa kuiga mawazo na ubunifu wa Chadema! Inamaana CCM Walikosa mtu wa kua na mawazo ya kubuni kipya badala ya kuiga? Nikifikiria hii kitu ndo hua naamini Chadema w alishinda uchaguzi mkuu uliopita, ila kina Jecha wakafanya yao.

Hata kwenye mpira unaweza ukashambuliwa sanakwa dakika zote za mchezo kinachomata ni matokeo ya mchezo, mchezo ukiisha chenga hazina thamani, chenye thamani ni goli. Sasa wakikubali walizidiwa wewe unapata nini? Aaaaagh!
 
Ndiyo sababu iliyofanya wale vijana wa Chadema waliokuwa wakifanya majumuisho ya kura wakamatwe na Polisi.

Lakini cha ajabu kabisa wenzao wa CCM ambao nao walikuwa wakifanya majumuisho ya kura hizo hizo pale Mlimani City, chini ya 'maelekezo' maalum ya January, Polisi hawakuwagusa!
Kwa matukio hayo hatuna budi kuamini hivyo.Bila kusahau kukamtwa na kuchukuliwa kwa computer za shirika la haki za binadamu waliokuwa wkiratibu uchaguzi. Ushahidi wa kimazingira.
 
Usinikumbushe kuhusu uchaguzi wa 2015,pale ndio niliona sura halisi ya siasa za Tz,kifupi hakuna mwanasiasa mwenye maslahi ya dhati na mwananchi,wote ni wasakatonge.
 
Hivi na wao waliilipa chadema baada ya kuchukua hii slogan yao au hawakumbuki maana polepole anamtetea TID
 
Back
Top Bottom