Nimrod Mkono:Nimechukuliwa mali zangu ila nashukuru, TRA wangeweza kunifunga

Jamani hiyo mzee ana kampuni. Na akifanya kazi ya serikali inabidi alipwe ili aweze kulipa wafanyakazi, kula na kulipa kodi. Ka hakalipwa B saba atawezaje kulipa kodi ya B moja? Unawezaje kusema hakuna uhusiano kati ya deni na kodi? Serikali pia iwe inalipa madeni yake.Sometimes I doubt if we are really making making genuine comments!
Kwa hbr yenyewe inaonyesha hadi kodi ya mishahara, kama analipa mishara kodi haikatwi, hii inauhusiano gani na deni analodaiwa.
 
Ningekua mkuu wa nchi ningewaendeleza wazanaki wote na kuwapa vitengo, wahima hata ujumbe wasinge pata.
 
Kila mtu ni lazima alipe kodi. Asante sana JPM, nchi inanyooka sasa.
 
Na Wewe tusaidie kutuulizia kwa hao anaowadai Bilioni 2 huko Visiwani kwa hawa wa Bara Bilioni 7 kwanini mpaka leo hilo deni la Bilioni 9 " total " hawajamlipa Mzee wa Watu? Mbunge wangu Mzee Mkono " tata " hakika amedhihirisha hekima, utu na busara za hali ya juu tulizobarikiwa nazo Wazanaki ambazo ni nadra sana kuzikuta sehemu zingine.
Hivi ilikuwaje akawadai serkali hela kubwa hivi
 
Back
Top Bottom