Mtela Mwampamba jipime!

Mtela Mwampamba jipime!

Nimecheeka sana Lizaboni kwenye ule uzi wenye orodha
Anakaa kuuliza tu list nyingine iko wapi, list nyingine iko wapi?

Ah hahahahaaaa nadhani kwa mapambano haya ndani ya jf alikuwa na uhakika
Kwa michango yake Lizaboni hapa JF inaonekana atakuwa ametendewa haki, maana hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi!
 
Nimecheeka sana Lizaboni kwenye ule uzi wenye orodha
Anakaa kuuliza tu list nyingine iko wapi, list nyingine iko wapi?

Ah hahahahaaaa nadhani kwa mapambano haya ndani ya jf alikuwa na uhakika
Ha ha ha! Yaani ni kama mtu aliyecheza nasibu, namba za ushindi unazigeuza geuza ili zifanane na zako.
Hiyo ya leta list nyingine ni matumaini ya labda jina litakuwepo
 
Natangaza rasmi kifo cha Kule ujinga ulikuwa unaitwa JUKWAA LA WAZALENDO kwani malengo yake yameota mbawa hakuna aliyewatilia maanani.
Wakalime viazi tuu bado vinalipa na mjini tunavihitaji sana
 
hahahaa na siku hizi CLOUDS FM wameanzisha matamasha ya chips mayai bonanza au vihepe yai festival! hahahaa vijana wa Lumumba changamkieni kilimo cha viazi kinalipa matumaini ya u DC ndiyo hivyo tena.
 
Mtela Mwampamba usihuzunike mwayego, subiri mwakani ujaribu tena. Ila itabidi uongeze bidii, jitoe akili kabisa nafasi itakuwa yako.
 
Natangaza rasmi kifo cha Kule ujinga ulikuwa unaitwa JUKWAA LA WAZALENDO kwani malengo yake yameota mbawa hakuna aliyewatilia maanani.
Wakalime viazi tuu bado vinalipa na mjini tunavihitaji sana
Sjui atakayekwenda kwenye msiba WA jukwaa Hilo n nan!
 
pole sana mtela..ccm ina wenyewe wamejaa tele
 
Kijana Mtela Mwampamba na masalia wenzake baada ya kufurushwa CHADEMA kwa makosa ya usaliti alijiunga na CCM na kujifanya yeye ni kada kuliko makada aliowakuta huko.!

Kazi yake kubwa aliyopewa huko ikawa ni kutokana,kukashifu,kuchafua na kufanya propaganda na siasa za maji taka dhidi ya CHADEMA na viongozi wake kwa ahadi ya kupewa ukuu wa wilaya.

Leo Rais ameteua wakuu wapya wa wilaya jina lake halipo wakati vijana wenzake aliowaacha Bavicha akina John Heche.Upendio Peneza,Peter Lijualikali,Mwakajoka leo ni wabunge na wengine wengi ni madiwani.

Ni wakati wake wa kujipima kama aendelee kutumika kama ile karatasi laini ya chooni au atubu na kurudi kwenye jeshi la ukombozi.CCM ina wenyewe na yeye si mmojawapo!
Chadema na neno usaliti bila kujua mana ya neno usaliti
 
kazi za kujenga chama sio lazima upate UDC. Kazi inaendelea.
 
Mkuu naomba unisaidie, Juliana Shonza kaula wapi? Nina siku nyingi kweli sijamuona huku jukwaani na zile thread zake za kukashifu viongozi wa chadema.
Ni mbunge wa viti maalum siku hizi anatembelea v8 hehehe twende tukamsalimie bungeni tutaandikisha kama wana jamii forum wenzake tumeenda kuona utendaji wa bunge hehehe
 
Asikate tamaa, atapata nafasi ya chama tu....!
 
Kijana Mtela Mwampamba na masalia wenzake baada ya kufurushwa CHADEMA kwa makosa ya usaliti alijiunga na CCM na kujifanya yeye ni kada kuliko makada aliowakuta huko.!

Kazi yake kubwa aliyopewa huko ikawa ni kutokana,kukashifu,kuchafua na kufanya propaganda na siasa za maji taka dhidi ya CHADEMA na viongozi wake kwa ahadi ya kupewa ukuu wa wilaya.

Leo Rais ameteua wakuu wapya wa wilaya jina lake halipo wakati vijana wenzake aliowaacha Bavicha akina John Heche.Upendio Peneza,Peter Lijualikali,Mwakajoka leo ni wabunge na wengine wengi ni madiwani.

Ni wakati wake wa kujipima kama aendelee kutumika kama ile karatasi laini ya chooni au atubu na kurudi kwenye jeshi la ukombozi.CCM ina wenyewe na yeye si mmojawapo!
Mimi nadhani Mtela Mwampamba ana operate under full Capacity kwasasa, ukimpandisha kidogo tu ataharibu
 
Back
Top Bottom