Suala la kuowa au kuolewa na mtu aliweha kufanya mapenzi eti ana agano la damu la kudum sio kweli.
Mbona mitume na manabii na hata watu wa zamani walikua wanaowa wake wengi....agano hapo lipo wapi?
Kama wewe sio bikra huna haja ya kudai bikra ndo umuoe.
Tukizungumzia misingi ya dini...
Niko Mwanza, wakala wenu wa huku mama Alex ameniambia kaishiwa kwa hiyo niagize huko kwako. Kama kuna wakala mwingine Mwanza nipatie mawasiliano yake. Zainab Tamim
So Ishmael unatufundisha nini? Kwani ni malaika huyo hata asifanye makosa. So far sio shekhe ye ni mkutubi (librarian) tu au sababu wa dini ileeeeeeee
Acha udini na chuki dhidi ya dini zingine.....huna unachofaidika.
Njoo nikupe wangu bi Kulthoom, raha yake akupende mwenyewe tu otherwise utasanda. Mi najilia vyangu tu mtoto anataka mwenyewe....
Kuna chalii angu mmoja anashangaa hivi naanzaje kumvua yale mahijabu
Hizi mambo wanatuficha ficha tu. Waislamu wana elimu ya nyota au nujuum kwa Kiarabu lakini elimu hii ni marufuku mtu kujifunza (ni dhambi)
Kuna ustadh mmoja aliwahi kuniambia pia kila siku ina nyota yake hivyo hivyo. Na mind zetu zinafuata hizo nyota mfano, j tatu ni moon... siku ya biashara...
Naipenda kazi yangu tena sana tu, though mimi ni mtu wa sales abd marketing ila nafaham nini wale wenzangu wa ndani wanafanya. Kufanyia nje ni raha, ntaaga naenda kwa wateja kumbe niko kwenye deal zangu.
Mke atakaenizalia mtoto hivi karibuni nilimpata benki pale pale kituo changu cha kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.