Atakayeweza Swali Hili La "complex Number'' Adv Math

Atakayeweza Swali Hili La "complex Number'' Adv Math

La muhimu kuzingatia ni method. Trick ipo kutumia eular formula na solution of a quadratic equation. Anybody solving equation will use the same method. Copy and paste was merely to save me trouble of typing the solution.

Agreed, so it's a copy and paste.
 
Is it that one has copied the other, or, you have all copied from the same source!

Or else, the IDs belong to one person.

This might probably be the best answer to the above query.
 
La muhimu kuzingatia ni method. Trick ipo kutumia eular formula na solution of a quadratic equation. Anybody solving equation will use the same method. Copy and paste was merely to save me trouble of typing the solution.

Co Kwel ,,shda N Kuwa Tutaitoa Vp Hyo Cos Up To Cosh Na Pia Vp Kuhusu Z
 
Duh! Kipindi hiko, natembea kifua mbele mtaan!
 
Hyperbolic function au Complex Numbers?

Kwanza kitambo sana, nshasahau. Vitu vingine duniani havina application katika maisha.
 
zina faida gani kujua hesabu za kitabuni eti Cos, Tan, Sin, wakati deal la kupata hela mtaani halina application ya vitu hivyo!?
 
Vilaza wa hesabu utawatambua kwa maneno yao.
 
wewe umezitumia wapi!? intergration oooh sijui differential wapi na wapi, sikuhizi, tuwe wazi,

Zote hizo nazitumia kwenye field yangu ambayo inanipatia kipato, mfano, complex number natumia kwenye ku design analyze AC current katika machines na systems mbali mbali...una swali lingine?

NB: umesoma hesabu mpaka level gani??? Maana kuna level mtu akiuliza swal kama lako haishangazi!!!
 
Back
Top Bottom