Recent content by Mulimila dole

  1. Mulimila dole

    INAUZWA Nauza Bajaji kwa Bei chee

    Bajaji inauzwa TVS used bei 3,200,000. Inapatikana Gongo la mboto, Dar es salaam. Karibu uhudumiwe, simu 0755 233233.
  2. Mulimila dole

    ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

    Birth certificate, form 4, form six, (certificate + Transcript) , (diploma + Transcript) , (degree +transcript)+ (Masters+Transcript) =document 11. Huhitaji PhD kuwa na document 10
  3. Mulimila dole

    ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

    Ingia kwenye Website ya RITA utakuta hakiki online
  4. Mulimila dole

    Changamoto katika utumiaji wa mfumo wa TANePS

    Kama unaelewa vizuri mfumo wa Taneps Kila step kuanzia preliminary Hadi financial Kila sababu inayomtoa bidder evaluators Wana rise flag na kuweka justification. Sasa sielewi unataka ujulishwe Kwa barua?
  5. Mulimila dole

    Tabia ya Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili Jumamosi ni kama ubaguzi kwa Wasabato

    Siku za kazi pia ni shida maana wanaofanya interview na wanaoendesha interview wengine ni wasjiriwa Wana majukumu mengine. Binafsi wasabato hata wakipata kazi ,jumamosi kwao ni shida
  6. Mulimila dole

    Vyoo vya Uwanja wa Ndege JNIA ni vichafu na havijafanyiwa ukarabati kwa muda mrefu

    H Uyu alikuwa na hamu ya kuweka rekodi ya kujisaidia vyoo vya airport. Ukarabati mkubwa inakuwa ja soon Kwa jengo Zina la terminal 2.
  7. Mulimila dole

    What happened to Julius Nyerere Airport?

    Ndege ndogo zinatua terminal 1 ambayo ni local terminal hivyo shughuli za immigration zitafanyika terminal 3 Kwa ajili ya exit ya nchi
  8. Mulimila dole

    What happened to Julius Nyerere Airport?

    Pole Kwa kutofahamuvema ratiba za ndege. Kuna mashirika mengi yanakuja kwetu Kila siku. Ulikuwa airport saa ngapi? Terminal 3 inakuwa busy kuanzia saa 8 mchana (peak hours).Karibu Tena terminal 3 muda huo niliokuambia utarudi hapa na story mpya
  9. Mulimila dole

    TAMISEMI kama mmeshindwa kuandaa mifumo mizuri ya watu kuomba ajira ni bora mkarudisha zama za posta. Mfumo umekuwa usumbufu

    Tunapolaumu mfumo tujipime wenyewe tunajua kuutumia huo mfumo? Mfumo was ajira ni mzuri na ni rafiki Kwa mtumiaji mwenye uelewa. Changamoto kizazi Cha Facebook Kuna shida ya kuutumia mifumo. Mfumo huu unaweza ku edit au kuondoa na kuweka upya taarifa zako changamoto Iko wapi?
  10. Mulimila dole

    Tabia ya Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili Jumamosi ni kama ubaguzi kwa Wasabato

    Ukianza kudai interview kufanya jumamosi utadai unanyanyaswa then utatwambia ukipata kazi let say ya udaktari ukiambiwa uende kazini jumamosi utsema unanyanyaswa.Hutufai kanisanihutufai msikitimi na hufai kutumikia jamii Bora Mungu akupende zaidi ukamtumikie huko kwake
  11. Mulimila dole

    Changamoto HESLB

    Usijaribu kutuma posta ukisoma vizuri Hilo TANGAZO wanasema attach kwenye mfumo Kisha print upya hiyo package uitume kwa EMS hawapokei mkononi
  12. Mulimila dole

    Msaada: Nataka niende Ushelisheli kwa makazi

    Wenyeji ni wakarimu kadri ya Tamaduni zao japo ukarimu wao haupo kama wetu.
  13. Mulimila dole

    Msaada: Nataka niende Ushelisheli kwa makazi

    Nauli ya Ndege ni Variable ( inabadilika kulingana na siku na kuwahi kukata pia) ila ukiwa na milioni una uhakika kufika. Unaweza kufanya reservation (Ulizia) au ingia page ya Kenya Airways na Ethiopian Airline ndio wanaenda kule kupitia Nairobi au Bole Airport Addis Ababa.
  14. Mulimila dole

    Msaada: Nataka niende Ushelisheli kwa makazi

    Mashamba hakuna shughuli kubwa ya wenyeji wa kule ni uvuvi ardhi yao ni ndogo sana. Idadi ya Raia wake ni wachache mno ni kama laki moja tu!
  15. Mulimila dole

    Msaada: Nataka niende Ushelisheli kwa makazi

    Kaka shelisheli maisha sio rahisi sana itategemea na kipato chako. Changamoto ipo kwenye nyumba ya kupanga ni aghali sana ukilinganisha na home bedsitter inagharimu 400,000 hadi 500000 za bongo. Pesa yao inaitwa Seychelles Rupee. Kazi kupata ni rahisi sana kwani wenyewe wanapenda starehe sana...
Back
Top Bottom