Changamoto katika utumiaji wa mfumo wa TANePS

Wanatumaga email kwanin umeahindwa na mda wa ku-appeal alichoongea ni uongo
Ndio hivyo!!!

Pengine kwake kuna hiyo changamoto au huwa kuna tatizo la mawasiliano!!!

Unajua kuna makampuni email Zipo Lakini ni outdated kwahiyo hazipokei jumbe!!! Au hata kama zinapokea hakuna hata anayeifungua!
 
Pdf uko sahihi kabisa!!!!

Lkn nilichokisema hapo kinatokea sana!!! Docs zinakuwa corrupted
kuwa corrupted ni tatizo la nani mkuu au inatakiwa kufanyika vipi kuepeusha hayo mambo
 
Hapa mzee pengine aliyeupload au wenye mfumo!!!

Lkn kumbuka. Kama ni wenye mfumo Mbona zingine zinafunguka vzr?

Jibu litarudi ni Watumiaji wa mfumo
 
Hapa kazi kwelikweli, kuepeukana na hayo mambo tufanyeje
 
TANEPS ni mfumo ambao Serikali na mashirika mengine ya Umma wanautumia Kutangaza Tender Mbalimbali kwa kutumia mfumo wa manunuzi wa serikali NA Sheria ya manunuzi ya serikali kwenye huduma mbalimbali

Mfumo huu Mara nyingi wanapotangaza tender wanatuma Email kwa wale wote ambao wamesajiliwa kwenye huo Mfumo, Ila Cha kushangaza Tender ikishafunguliwa maana inafunguliwa Online moja kwa moja huwa hawatumi Email tena kuwajulisha kwamba ni nani ameshinda Hiyo tender, Japo wana Option ya Bid Open Details unaweza kuona tu waliomba wangapi na nani ame bid value ya Chini sana na nani ane bid ya Juu lakini hauwezi kuja Kuambiwa ni nani amekuwa awarded na hiyo tender.

Kuna Kampuni moja hivi niliwahi kufanyia kazi Tuliwahi kuomba tender kibao tu na nyingi tulikuwa sisi ndio tuna bid ya chini kabis alakini hatukuwahi kupewa hizo tender wala hawajahi kutuambia ni nani alipewa na sisi kama tulikataliwa ni kwa vigezo gani wakati vigezo vyote tulikuwa tunavyo

Hivi hii Husababishwa na nini? Au ndio kuendeleza Rushwa? Inawezekana Kuna mchezo mchafu unafanywa
Kama matokeo hamjapewa je umejuaje kwamba wewe ni lowest bidder?!
 
Ndio hivyo!!!

Pengine kwake kuna hiyo changamoto au huwa kuna tatizo la mawasiliano!!!

Unajua kuna makampuni email Zipo Lakini ni outdated kwahiyo hazipokei jumbe!!! Au hata kama zinapokea hakuna hata anayeifungua!
Sababu email inakuaje outdated wakati email zote za Tender zinaingia ila kimbembe ukishakamilisha hiyo kazi huji kupewa mrejesho kabisa.. Inawezekana hujanielewa
 
Kama matokeo hamjapewa je umejuaje kwamba wewe ni lowest bidder?!
Ukiingia kwenye mfumo BID OPEN DETAIL unaona, Mimi ninachouliza huenda hujakielewa Mkuu nauliza kwanini baada ya kufungua tender wanapoenda kwenye tathimini hawarudishi Mrejesho nani kashinda kwa vigezo gani na na kwanini wewe umekosa
 
Wanatumaga email kwanin umeahindwa na mda wa ku-appeal alichoongea ni uongo
Uongo gani Mkuu au mimi unafikiria nina chuki na hao watu au... hizo Email hawatumi kabisa labda kama wewe unatumia mm email naona notification zote za tender na zile manualy lakini hizo baada ya evaluation kuambia nani amekuwa awarded hawatumi tena kama mwanzo ilivyokuwa
 
Umefanya follow up kwa procurement entity kujua muendelezo? Na umepewa majibu gani? Kama hujafanya ni kwanini usifanye?
 
naogopa kuiweka hapa email niliyowatumia na majibu waliyonipa. ila nilishafanya wakanitumia link ile ile link inakupeleka tu kuangalia open bid dertails tu lakini haikuonyeshi nanai amekuwa awarded na kwasababu zipi, PE nilimuuliza aksema walitupigia simu haikupatikana nikawauliza kwanini hamkutuma email hawakuwa na majibu ya maana
 
Tatizo lako linafanana sana na tatizo langu Mkuu hata mimi nilifanya hivyo hivyo
 
Umefanya follow up kwa procurement entity kujua muendelezo? Na umepewa majibu gani? Kama hujafanya ni kwanini usifanye?
Hata mimi nilishawafuatilia ahdi sasa nimeamua kuachana na hayo mavitu yao wanatangaza tender kuzuga watu kumbe tayari wana watu wao
 
Nilishinda sehem mbili tofauti,hawakunipigia simu.

Nilivyokuja kwenda mara ya kwanza wakasema watanijulisha,mda umeenda nikaja wafata tena,wakasema nilikuwa sipatikani.....ukilitimba upo sana aisee.
 
wanazingua sana
 
Hata mimi nilishawafuatilia ahdi sasa nimeamua kuachana na hayo mavitu yao wanatangaza tender kuzuga watu kumbe tayari wana watu wao
Ni kweli kuna loopholes nyingi Sana Kwenye notification pale huwa Wana weka letter of award tu. Jitahidi uwe unakwenda kwenye opening nadhani inaweza kujibu maswali kadhaa ulionayo
 
sasa kwanini wakishafanya hiyo michakato hawakupi mrejesho kwanini hukutunukiwa? au wewe unaona kawaida tu. Kuna mkataba kama umeandika bei ya chini ukashindwa kusambaza si unalipia hasara
Kama unaelewa vizuri mfumo wa Taneps Kila step kuanzia preliminary Hadi financial Kila sababu inayomtoa bidder evaluators Wana rise flag na kuweka justification. Sasa sielewi unataka ujulishwe Kwa barua?
 
Back
Top Bottom