touch the sky
Senior Member
- Aug 25, 2020
- 132
- 59
Nimemaliza chuo 2017 accounting & finance (BAF) nashukuru Mungu ameniweka hai hadi saivi amenipambania hadi hapa nilipofika.
Sina familia (mke wala mtoto) ila nataka nijaribu maisha sehemu nyingine nikutane na watu wapya kabisa na nianzishe makazi mapya, natamani kukaa Ushelisheli; kwa jinsi nilivyosoma sehemu mbalimbali pamenivutia.
Nataka nini toka kwenu?
Mfumo wa maisha, wageni wanapokelewaje (jamii ya Africa- Black) upatikanaji wa kazi yoyote na ufanyaji wa biashara kwa mgeni
Pia nauli kutoka hapa Bongo hadi huko.