What happened to Julius Nyerere Airport?

What happened to Julius Nyerere Airport?

Terminal 2 zinatua ndege za ndani tu kwa mfano Air Tanzania pamoja na Presicion Air wakati Terminal one zinatua zile ndege ndogo kabosa kama Auric Air .
Asante sana kiongozi, so ikitokea mtu amekuja na ndege ndogo kabisa toka Mafia, anataka kuunga route kwenda mathalan Dubai, hiyo migration toka terminal moja kwenda nyingine inakuwaje
 
Watalii wanaogopa panya rodi

Wakuu,

Nimetembelea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Airport kwakweli ni mzuri mno na unavutia sana sana hususani Terminal 3. Ujenzi wake umebadilisha kabisa muonekano wa uwanja mzima na kuufanya uwe wa kimataifa haswa. Kwa hilo naipongeza sana serekali yetu. Lakini najiuliza why idadi ya ndege za kimataifa na wageni ni ndogo sana? Yaani terminal 2 ndo angalau iko busy. Tatizo liko wapi? Yaani hata ule wa Zanzibar unatupita aisee? Idadi ya wageni kule Zanzibar ni kubwa kuliko Bara kwanini? Hapo wala sijataka kuitaja Jomo Kenyatta International Airport. Nini kifanyike wadau? Kwa muda niliyo kaa pale kusubiri wageni wangu ndege zilizo shusha wageni ni mbili tu Rwanda Air na Ethiopian Airlines.

Nawasilisha.

Pole Kwa kutofahamuvema ratiba za ndege. Kuna mashirika mengi yanakuja kwetu Kila siku. Ulikuwa airport saa ngapi? Terminal 3 inakuwa busy kuanzia saa 8 mchana (peak hours).Karibu Tena terminal 3 muda huo niliokuambia utarudi hapa na story mpya
 
Asante sana kiongozi, so ikitokea mtu amekuja na ndege ndogo kabisa toka Mafia, anataka kuunga route kwenda mathalan Dubai, hiyo migration toka terminal moja kwenda nyingine inakuwaje
Ndege ndogo zinatua terminal 1 ambayo ni local terminal hivyo shughuli za immigration zitafanyika terminal 3 Kwa ajili ya exit ya nchi
 
Pole Kwa kutofahamuvema ratiba za ndege. Kuna mashirika mengi yanakuja kwetu Kila siku. Ulikuwa airport saa ngapi? Terminal 3 inakuwa busy kuanzia saa 8 mchana (peak hours).Karibu Tena terminal 3 muda huo niliokuambia utarudi hapa na story mpya

[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom