huyo docta wa kugushi anazidi tu kuchangany mambo, kwa maelezo ya seth aliitwa wakti kanumba kaanguka tayari na kwa maelezo yake alimkuta ameshakufa sasa ilikuwaje akajua kuwa l alipigwa, me naona huyo dokta apuuzwe coz anatafuta nae umaarufu kwa kupitia tukio hilo kama atahitajika kwa ajili ya...