Raisi mmoja wa Africa atakufa hivi karibuni - TB Joshu

hivi kwa nini asife huyu wa kwetu jamani tuondokana na hili zigo la misumari????eeeh mungu weee nisikie kilio changu muache mugabe mchukue huyu wa kwetu bana

I also wish the same!
 
hata sisi hapa TZ tuna Raisi mgonjwa mgonjwa hivi huwa anaangukaanguka.......sasa sijui kama ndiye yeye au ni yule wa Senegal ambaye naye amebanwa na nduli...............au Mugabe au....................
 
kila mtu anajua mugabe mgonjwa

na zaidi Mandela pia ni mgonjwa.....

vitu vingine havihitaji utabiri.....

ni masifa tu.....
yap ni kweli ila mara nyingine mambo huwa hayatabiliki utashangaa mzima ndo anakufa , mgonjwa anaendelea kupeta, hii ishawahi kutokea kwa ndugu zetu mmoja alikuwa hoi anaumwa kisukari tulikuwa tunahesabu masaa tu but tukaletewa taarifa ya msiba ya mtu mwingine ambaye alikuwa mzima hata homa ana na wakisukari mpaka leo anapeta.
 
Huyu jamaa ni kweli huwa utabiri wake huwa kweli, ila nataka kujua hizo nguvu anazipata wapi? Maana nasikia mapasta wanaenda nigeria kununua uchawi wa kutibu watu. Ni kweli?
 
Haya, naona wengine wameanza kujihami

TB Joshua Prophey: Minister fears for Bingu, gives offering

Posted By Nyasa Times On February 13, 2012 (7:03 am) In National

One of Malawi's Ministers on Wednesday shocked teachers and pupils at a Lilongwe school when he visited with three live goats and a Muslim Sheikh saying he had gone there for an offering on behalf of President Bingu wa Mutharika and his family following Prophet TB Joshua's prophecy of a sudden death of an African President.
Minister of Lands, Housing and Urban Development Yunusu Mussa, a staunch Muslim, said he was concerned with the prophecy, fearing that the referred President might be the 79-year-old Malawian President and wanted to ask God to spare him, according to sources at the school.
Mussa arrived at the school around 10.00 in the morning with two journalists from state controlled MBC TV and Radio.
http://www.nyasatimes.com/malawi/20...-for-bingu-gives-offering/yunusmussa_330_228/Mussa: Offers sacrifice in a bid save Mutharika from being the one to die

"He approached the director telling her that he wanted to make an offering both for Mutharika and his entire family to be spared if TB Joshua's prophecy might be referring to him," said one of the pupils who witnessed the slaughtering of the three goats by the Muslim Sheikh.
The pupil said after slaughtering the goats amidst a player by the Sheikh, Mussa, who is also ruling DPP second vice President, ordered that the meat be shared amongst the teachers and pupils.
The source said the Minister was doing this with all the blessings from the Head of State and as a concerned citizen of Malawi who would not want to see the president die before accomplishing his work of developing the nation.
"It is sad that soon after the prophecy some online publication and social media networks were wishing that the said President should be our President. To me that is not human and unfortunately some of them were quoting the Bible in their wishes," Mussa is said to have told both teachers and the pupils.
Surprisingly the story on Mussa's offering was not carried on both the state television and radio stations.
Recently there have been speculations in the media of Mutharik's poor health with reports last year that he had gone to a hospital after he extended his visit to Australia to attend Commonwelath Heads of State Meeting. On his return he said he had gone for a holiday and not to a hospital.
The renowned Nigerian Prophet Temitope Balogun Joshua, commonly known as TB Joshua, prophesied during a February 5 Sunday service that an old Africa dictator would die soon.
TB Joshua has in the past foretold many world shaking events which include the death of Michael Jackson, the resignation of Pakistan's former president Pervez Musharraf, and also the rise of the current president of Ghana a few weeks before they happened.
"I'm seeing a head of state, by that I mean a president. He is not feeling well. He is very old. What is this I'm seeing…sudden death. .I'm seeing the death of an old African president in two months," TB Joshua is said to have prophesied during a Sunday service in Lagos.
TB Joshua did not disclose the name of this old African president, but many Zimbabweans on Monday rushed to suggest that it could be President Robert Mugabe who is currently Africa's oldest presidential ruler.
The Nigerian Prophet has become so popular in Malawi that some renowned personalities including Malawi's vice President Joyce Banda and several other Malawians have made visits to him to seek God's intervention to their fate or be healed on various ailments.
Both Mussa and the director of the school popularly known as Mayi Aisha declined to comment on the offering.
Article taken from Malawi news, Malawi - NyasaTimes breaking online news source from Malawi - http://www.nyasatimes.com
URL to article: TB Joshua Prophey: Minister fears for Bingu, gives offering | Malawi news, Malawi - NyasaTimes breaking online news source from Malawi
 
Swali zuri mkulu......
Watabiri wooote ni wachawi...... kwa maana wanashirikiana na Mashetani kueleza mambo ambayo yatatukia baadaye.....

Na ndiyo maana Mungu aliwaambia Wanawaisraeli kuwa asiwepo mtu yeyote anayetabiri kati kati yenu......

Halafu pia kuna kisa cha mtume Paulo kuhusu msichana fulani aliyekuwa akitabiri...... Soma Matendo mlango wa 16 kuanzia aya ya 15 na kuendelela..... utaona jinsi mapepo yanvyo tumika kubashiri mambo yajayo..... kwa hiyo hata huyo mtabiri wao anatumia nguvu za shetani....

Be ashamed kama hujui dini ya kikristo au biblia .usi comment upuzi.kuna mapepo ya utambuzi ndio alikuwa nao yule dada unaejaribu kumrefer kwa paulo na kunakuoneshwa na roho mtakatifu.ukiwa unamjibu mtu kitu kama hiki unatakiwa ujue duniani kuna nguvu au utawala mbili washetani na wa Mungu nazote zina idara sawa sema moja ni ya kubomoa nyingne ni ya ku jenga.pia kwny biblia hakuna sehemu Mungu kawambia waisrael wasitabiri..kajikoki uje na facts sio *****
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Kwa watu wenye kuugua cancer-terminal technology inaweza kabisa kusaidi kujua muda uliobaki kabala organs zote hazijafeli. Sasa huyu nabii anaweza akawa amepata fail la mtu lakini anajidai kuwa yeye anatabiri. Kama ni kutabiri kwa nini asiseme jina, siku, saa, na hata dakika? Hivi huyu nabii alitabiri nini kuhusu boko haram?

Tafuta mahubir yake ya tare 16 dec 2011 alikuwa anawakumbusha watu wa kanisa lake kwamb its near to happen soon alicho wambia miaka miwil ilyo pita
Nimemfanyia sana research huyu bwana kila alcho tabiri kimetokea..ni vingi sana .pia juzi tare 12 jpil amesema kuna kitu kitatokea india very soon. .sasa skilizia hcho cha india afu uniambie kama kuna kupima
 
hivi kwa nini asife huyu wa kwetu jamani tuondokana na hili zigo la misumari????eeeh mungu weee nisikie kilio changu muache mugabe mchukue huyu wa kwetu bana
jamani i wish kama huyu wa kwetu angekuwa anapitapita humu aone jins wananchi wake wanavomuombea kifo kama ana akili ajiondoe tu kwa amani kabla ya njia zingine au ajafikia hatua ya kufa halaf watu wake wafanye sherehe jamani hurumaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kuna taarifa kuwa ni kweli kuna Rais wa Afrika aliyefariki, je utabiri wa huyu mtu umetimia?
 
Back
Top Bottom