Recent content by muladen

  1. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Kijana io pesa nikubwa sana...kama ulivyoshauriwa na mdau apo juu io pesa inatosha kabisa changamoto ni pango au sehem yakuuzia, Kwa mfano mimi ilinilazimu kutumia jiko la gesi kwasababu ya mazingira (chuo) watoto wachuo wanapenda madoido kinoma..apo nlijaribu kusatisfy custumers wangu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Nimeyaamini haya maneno...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Mkuu bihashara nimeanza tayarii, kiukweli jf ni sehem nzur sana yakupata elimu na ujasiri wa kufanya jambo, Bihashara yangu inaweek 2 tu mpaka sasa, Plan yangu nikuitathimini kwa mda wa week 3 then nitaweza kusema ikoje, Ushauri wangi kwako ni anza kufanya usisubiri kukatishwa tamaa, changamoto...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Wakuu habari zenu poleni kwa mapambano ya kila siku, nimepata sehemu yakuuza chipsi chuoni , sehemu yenyewe ni cafeteria ambayo wanafunzi uitumia zaidi wakati wa mchana, Naomba ushauri wenu ni mbinu gani nawezakuzitumia kupata wateja wengi na wakudumu pia nitamwajiri mtu mwenyesifa gani mbinu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu DAAD scholarship ya Ujerumani

    Bsc irrigation and water resource engineering, Sokoine university, Gpa 4.1
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mimi United damu ila hii game yetu ya leo na Huddersfield tutadraw 0 vs 0

    Man 4-1 unf
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe matukio ya vifo na kuugua ghafla kwa viongozi ndani ya CHADEMA ambayo yameacha maswali yasiyo na majibu

    Hahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Bashite alifananue swala la cheti feki, wanachodai alifoji akiwa koromije!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wakulima tunaweza kujikwamua kirahidi pindi tukipata msaada wakitaalum,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimefika Dar es Salaam 2002 lakini hadi leo sijawai sex ardhi ya Dsm

    Daudi alex bashite...DAB
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuapeal mkopo wa elimu ya juu 2016/17

    Habari kwenu nyote wanajamvii,poleni na majukumu ya kila iitwayo siku, Ningependa kuhabarishwa kuhusu ufunguzi wa dirisha la kuapeal mkopo wa elim ya juu (hesleb). Naomba kujua kama kunamtu mwenye taarifa yoyote anijuze, Ninandugu yangu anapaswa kuapeal, Asante.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je hii ni kweli kuhusu elimu ya Sokoine University (SUA)?

    Sua bata sana...tena vet ndo raha zaidii, Chamuhim ujue kupanga mda wako nakujielewa..
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Thamini utu kwani ni mali
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Xory
Back
Top Bottom