Habari kwenu nyote wanajamvii,poleni na majukumu ya kila iitwayo siku,
Ningependa kuhabarishwa kuhusu ufunguzi wa dirisha la kuapeal mkopo wa elim ya juu (hesleb).
Naomba kujua kama kunamtu mwenye taarifa yoyote anijuze,
Ninandugu yangu anapaswa kuapeal,
Asante.