Recent content by Mukubho

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ipige Marufuku Watu kuingia na Simu au Kifaa chochote cha kurekodi ,kupiga picha au kuchukua Matukio katika kesi Ya Lissu

    Kuna majitu ni majinga mpaka unashangaa kwanini hayajafa mpaka sasa yanavuta pumzi ya bure.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja mwenye tamaa za tumbo anapoamua kuzuia haki za walio wengi kushiriki haki ya kuchagua!

    Kwani wamezuiliwa kuhamia vyama saccos ili wagombee?Tuna jamii ya hovyo ambayo kila siku ni kujilamba matako
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

    Kuna watu wana uwezo mdogo wa kufikiri utadhani IQ yao na kuku zinalingana, mtu mzima na akili timamu unaweza kuandika kitu kama hiki?
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atoa majibu ya matukio ya kupotea na utekaji watu yanaendelea Nchini

    Wamkumbuke huyu Mzee atoke huku jf maana anajitahidi sana kujionesha lakini hawamuoni.Kiuhalisia ni mjinga tu ataamini kuwa kuna kiongozi wa tz ambaye yuko makini na kazi yake.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha kufanya Utafiti Ili kujua kwanini Watanzania hawapendi kulipa Kodi. MwanaJf unaweza kutoa maoni hapa kusaidia Utafiti

    Tatizo kubwa linalosababisha watu wasipende kulipa Kodi ni mfumo mbovu uliyopo kuanzia kwa mkusanyaji kuzichepusha na kujinemesha na hata kile kidogo kinachofika sehemu husika nayo serikali kuwazitapanya kwa manufaa ya viongozi na familia zao. Leo hii matajiri wakubwa nchi hii ni viongozi ili...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natamani nichukue maamuzi magumu sana

    Binafsi ninapitia kama anayopitia mtoa mada na kiuhalisia ni jambo ambalo linaudhi,kukera na kukatisha tamaa hasa pale unapojikuta Kati ya watu 50's ni 2 au 3 mnashirikiana na waliobaki kazi yao ni kutuma mashambulizi. Kiufupi mimi ni mtoto wa 25 kati ya watoto 50's kwa baba yangu na kama ilivyo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimeacha kuangalia mechi za Chelsea FC

    Naungana na wewe mkuu,kuanzia jana nimestaafu mpaka pale timu itaamua kuwa serious, siwezi kila siku ni kuumia tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yako ni kama siti kwenye bus

    Niko siti ya tatu japo napambana niwe siti ya siti ya dirishani nikiwa nimejiajiri na kuweza kujilipa mara tatu ya wenzangu tuliohitimu chuo pamoja kwa uweza wake Mola
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ipi ni kampuni yenye mabati bora Tanzania?

    Tajiri jibu swali lake ili sisi masikini wa akili tufaidike
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

    Unadhani Faki hakusaidia kwa kupunguza uchawi hasa vijiji vya Ndengele na mbamba-bay?unafahamu kuwa huku kila alipata mafanikio nje alikuwa akija likizo akiondoka anarudi na kiatu cha mbao? Unamjua mzee Miale wa mbamba-bay sàsa ni marehemu alivyoua familia yake mpaka watoto wakamkimbia na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naacha kabisa Mawazo ya kuomba Kazi

    Mimi nilihitimu chuo mwaka 2016 na nilipanga kabisa ikifika 2019 sijapata ajira sitakaa nikaomba tena kuajiliwa na kiukweli nilisimamia uamuzi wangu na nimejijenga kiasi kwamba nikisikia ajira zimetangazwa sijawahi hata kuwaza tu kuomba Wahitimu wenzangu tupambane na maisha halisi ya mtaani na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya fangasi

    Mimi nilipaka nikajikuta nipo nje uchi,sijui yeye ni mvumilivu kiasi gani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya MYSOL acheni kututapeli wananchi wanyonge

    Mimi nilichukua mtambo wa kwanza wa watts 120 mwaka 2020 kwa mwaka mmoja na 2021 nikawa nimemaliza kulipa na haujawahi kunisumbua hata kidogo na napata umeme wa uhakika Kutokana na kuvutiwa na huduma yao mwaka jana nilichukua tena mtambo wa pili lakini pia sipitii changamoto yoyote mpaka...
Back
Top Bottom