Tatizo la watanzania ni lawama tu!matatizo ya madaktari sio yao wenyewe wala ya waalimu sio yao wenyewe ni kwa ajili ya watanzania wote,tulio wengi tunaonyesha support na misimamo yetu kwenye keyboard lakini sio kwa vitendo wala hadharani!SASA HIVI KILA MTU ATOTOKA KIVYAKE!UTAHUDUMIWA KIVYAKO NA...
I am just a Tanzanian Dr, I am not MSD all I can do is advice you which medications and tests are best fit to improve your condition. I cannot pay for your MEDICATIONS, I cannot pay for your TESTS AND just for the record I am not supposed to care about your ability to afford these important...
je unajua hospitali za rufaa tanzania zimepangiwa sh ngapi katika bajeti ya wizara ya afya ya mwaka huu?unajua imetenga sh ngapi kuwatibia wanasiasa wastaafu 11?fuatilia tafakari utaamua mwenyewe
sio wote,na hao wanaofanya hivyo wangekuwa wanalipwa vizuri wasingekuwa wanafanya hayo!kama kuna walioiba wala hawagomi wako wanaendelea na shughuli zao ila wazalendo ambao hawaibi ndo wanaogoma ili waboreshewe mazingira maana wenyewe hawataki wizi
well narated,anayetaka kuelewa ameelewa asiyetaka basi kanyaga twende,hakuna atakayedai haki yenu bali nyie wenyewe,wala support ya hao wanaohongwa tisheti na kapelo za ccm sidhani kama mnawahitaji katika mapambano yenu,hata siku moja sijawahi kusikia mwananchi akilalamika kuwa mazingira ya kazi...
Hizo ni propaganda zenu na serikali yenu ya kishenzi mnayotumia nguvu nyingi kuitetea,je yenyewe serikali inaweza kuofa nini katika hayo madai?mbona anaongelea mambo ya mishahara kwa nini haongelei uboreshaji wa huduma za afya?propaganda at work,mtashindwa kama sio leo ni kesho!kiama chenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.