UN has rejected Doctor's (MAT) Request

Dar es Salaam. The United Nations office in Dar es Salaam yesterday acknowledged receipt of a letter from the Medical Association of Tanzania (MAT) seeking protection of Dr Stephen Ulimboka who is receiving treatment in South Africa.

The UN communications analyst, Ms Hoyce Temu, said yesterday that the resident coordinator of the global body, Dr Alberic Kacou, received the letter on Monday evening and immediately started consulting other partners on how to address issues raised by the document.

“The resident coordinator will be meeting with representatives of UN agencies for consultations and drawing more expertise on how to address issues raised in the letter,” Ms Temu said.
She said there were also many actors mentioned in the letter, including the doctors themselves through MAT, the government, and civil society organisations.

As a result, she noted, attending to the doctors’ requests would need more time so as to get the issues right from all sides prior to intervention and mediation.
“UN is a transparent organ and believes in peace and stability of its member states, including Tanzania,” she noted.
On Monday, MAT appealed to the United Nations and the international community to ensure the security of Dr Ulimboka in South Africa, where he is receiving treatment.
I thought they were looking protection of all Tanzanians and not a single person. What about those who died while they were on illegal strike????? who was supposed to protect them??
 
hapo ndipo unapoonyesha upimbi wako na ujuha wako uliokubuhu..angalia ranking ya vyuo vya kitabibu vya tanzania katika dunia ndio ujue hongo kunawasomi msiowatumia...pili kupelekwa nje kwa dkt ulimboka ni kutokana na kukosekana kwa vifaa(moja ya madai)..tatu udaktari na ufamasia si kitu kimoja ingawa zinauhusiano wa karibu..nne makosa ya operation zilizotokea muh2 hayakufanywa na madaktari bali idara ya uchapaji( kuchapisha majina mawili yote yenye kufanana mfano hamis juma badala ya majina matatu) na si kazi ya daktari kuhakikisha ni kazi ya muuguzi..kalale juha, jipange upya ndio uje hapa..

wambie jamaa nafikiri kuna watu wanafikiria kwa kutumia matumbo baada ya kichwa ... Waulize t scan ni sh ngapi? Na kwa nini muhimbili yazengua? Waulizwe vx v8 ni sh ngapi ? Kwa nini wanaotumia matumbo wanazo kila mtaa.... Kitaeleweka tu...
 
Usikurupuke..Hawajui sheria?? Kama kesi iko mahakamani na haya yanatokea

-Rais ku_overrule, na kutoa uamuzi

-Rais kuchagua tume ya uchunguzi mwenyewe(ikiwa ndiyo inatuhumiwa na upande wa pili), na kabla ya tume kutoa majibu yeye mwenyewe kusema Serikali haihusiki, ni majibu gani unategemea kutoka katika tume?

-"wakagoma" kana kwamba huwa kuna mgomo halali..liini ulienda kupata kibali cha kugoma?? au unadhaani haya yalikuwa maandamano kwenda kuomba kibali!!

-"Wakapeleka kesi UN"--Unajua kesi iliyoko mahakamani ni ipi? Unajua barua iliyokwenda UN ilikuwa na OMBI gani?

-"Mahakamani"-kama kesi bado iko mahakamani na haijatolewa uamuzi, mbona serikali inafukuza intern doctors??

Ushauri: Hii nchi yetu sote, tuchangie ili kuijenga inasikitisha kwa nusu Karne TZ kuwa na madaktari 1500tu wanofanya
kazi katika hospitali za serikali wakihudumia zaidi ya watu mil40!! But above all tuchangia tukijua chanzo cha
mgogoro(madai) na si madhara ya mgogoro tu.
You sound like a real Doctor. Unaonekana unajua unachokiongea. Tatizo humu ndani kuna watu wako biased, hawajadili kwa kuangalia maslahi ya wananchi ambao wengi wao ni walalahoi wasioweza kupeleka ndugu zao nje kutibiwa. Wanatetea upande dhalimu kwa sababu tu wao wananufaika na udhalimu.
 
MADOCTOR wa tz wapasua kichwa badala ya mguu ni wapuuzi hawana maana, vishoka wakubwa afu wanaringa, wangekuwa wanaelewa sasa wangefanya nini si wangetusumbua sana, hapo tu mambumbumbu bado wanatuumiza vichwa,....kama wao ni madoctor kweli mbona ulimboka wanampelekwa kwa madoctor wenzao waliosoma shule ikasomaka huko india na souz africa? wao wameshindwa? vishoka hawana maana, yaani nikiwaona nao ati wanaringia profession yao huwa nacheka sana walevi hawa. kwanza wamezidi kutuibia madawa yetu kupeleka kwenye pharmacy zao.

Wewe inaelekea hata hujui madaktari wanachogomea. Sababu zilizosababisha Ulimboka apelekwe nje kwa matibabu ni hizo hizo sababu wanazodai madaktari. Muhimbili inaitwa hospitali ya rufaa lakini haina vifaa vya kufanyia kazi. Kama vifaa stashiki vingekuwepo, basi madaktari wangeweza kumtibu mwenzao hapa hapa Tanzania lakini bahati mbaya vifaa hamna.

Usiwe brain-washed kuimba matamko ya serikali kwani serikali inasema Drs wanadai mshahara wa Shs. 3.5m lakini haizungumzii kabisa madai ya mazingira bora kazini ikiwemo upatikanaji wa vifaa!!!!!

Funguka macho!!!!

Tiba
 
Kasha kula ban kwa ujinga wake

Wewe huwezi kujifananisha na Dk yeyote. Kaa kimya DHAIFU wewe. Wewe ndiye mjinga maana hujui kinachoendelea. Huyo shetani mnayemuamini sasa anakaribia kuwafikisha ukingoni. Lakini mtafikishwa huko baada ya misukosuko mingi yenye mateso na taabu. Kama sasa mna siku kadhaa hamlali, na hata security yenu nayo iko mashakani. Mtabadilisha sana malazi. Hapa hadi kieleweke. Nchi hii ni ya watanzania, siyo yenu ninyi. Tutachukua nchi yetu kisha tuwananihiiii! Maana DHAIFU hamuwezi kuongoza wenye akili. Ndiyo maana mnaogopa kukutana nao kwa sababu hamna cha kuongea na wasomi 'who have all the evidence and facts in their hands"!!!You are in for it.
 
Hawa madr. wana akili sana,unaweza kuona walifanya ujinga kuomba ulinzi UN.Lakini nikiangalia lengo la barua hiyo kwa jicho la pili,wameifahamisha serikali kwamba hata jamaa akipoteza maisha tayari UN watakua aware na kifo cha huyu jamaa,kwani wameonyesha moja kwa moja kuhusika kwa ACP Msangi , nakisha kuonyesha kuwa huyohuyo mhusika ndio anaongoza hiyo tume ya uchunguzi.wakati principles of natural justice zinakataza mtu kama huyu kuhusishwa na shughuli zinazofanyika na tume ya uchunguzi kwa suala linalomhusu yeye moja kwa moja.
Suala hili utalichukulia juu juu,lakini pale The Hegue itakapofika Tz, utakuja kuona mlolongo wa makosa ya serikali na hili likiwemo,kwani limefika rasmi kwenye mafile yao.
 
Wewe huwezi kujifananisha na Dk yeyote. Kaa kimya DHAIFU wewe. Wewe ndiye mjinga maana hujui kinachoendelea. Huyo shetani mnayemuamini sasa anakaribia kuwafikisha ukingoni. Lakini mtafikishwa huko baada ya misukosuko mingi yenye mateso na taabu. Kama sasa mna siku kadhaa hamlali, na hata security yenu nayo iko mashakani. Mtabadilisha sana malazi. Hapa hadi kieleweke. Nchi hii ni ya watanzania, siyo yenu ninyi. Tutachukua nchi yetu kisha tuwananihiiii! Maana DHAIFU hamuwezi kuongoza wenye akili. Ndiyo maana mnaogopa kukutana nao kwa sababu hamna cha kuongea na wasomi 'who have all the evidence and facts in their hands"!!!You are in for it.
Maneno haya huwa yanatumiwa na UAMSHO kwi! Kwi!
 
MADOCTOR wa tz wapasua kichwa badala ya mguu ni wapuuzi hawana maana, vishoka wakubwa afu wanaringa, wangekuwa wanaelewa sasa wangefanya nini si wangetusumbua sana, hapo tu mambumbumbu bado wanatuumiza vichwa,....kama wao ni madoctor kweli mbona ulimboka wanampelekwa kwa madoctor wenzao waliosoma shule ikasomaka huko india na souz africa? wao wameshindwa? vishoka hawana maana, yaani nikiwaona nao ati wanaringia profession yao huwa nacheka sana walevi hawa. kwanza wamezidi kutuibia madawa yetu kupeleka kwenye pharmacy zao.

Madaktari wakilia kwamba hakuna vifaa unaona ni wajinga. Kwa taarifa yako wamempeleka huko sio kwa ajili ya shule za madaktari wa huko nje bali ni facilities ambazo hatunazo tanzania na tulitakiwa kuwanazo.
 
je unajua hospitali za rufaa tanzania zimepangiwa sh ngapi katika bajeti ya wizara ya afya ya mwaka huu?unajua imetenga sh ngapi kuwatibia wanasiasa wastaafu 11?fuatilia tafakari utaamua mwenyewe
 
We ni mjinga na huna akil sikushangai, unafikiri wewe una akil gani kumzidi daktari yoyote,,Ndo walewale uwezo mdogo kuongoza mkubwa??? Ujawaona waliokukwapulia mabilioni unadai dawa kweli wewe kichwa cha kuku akibebi mzigooo....bebaa boksi za dawa utinze kwako

:israel: Naptwa kigugumizi juu ya Dr huyu...Aghrrrr....Plz mnisamehe wadau na ma - Dr wengine!!

MADOCTOR wa tz wapasua kichwa badala ya mguu ni wapuuzi hawana maana, vishoka wakubwa afu wanaringa, wangekuwa wanaelewa sasa wangefanya nini si wangetusumbua sana, hapo tu mambumbumbu bado wanatuumiza vichwa,....kama wao ni madoctor kweli mbona ulimboka wanampelekwa kwa madoctor wenzao waliosoma shule ikasomaka huko india na souz africa? wao wameshindwa? vishoka hawana maana, yaani nikiwaona nao ati wanaringia profession yao huwa nacheka sana walevi hawa. kwanza wamezidi kutuibia madawa yetu kupeleka kwenye pharmacy zao.

Here, here!!!!!. ni kweli mkuu - hawa kama wanajiona ni zaidi wavuke kwa mguu hata hapo kenya au Malawi wapate kazi. hawajajijua hawa kuwa umma wa watanzania umeshaondoa imani kwao na heshima yao imeshuka wauwaji na mumiani wakubwa hawa. Hakuna sababu ya wao kupiga kelele waende huko watakakothamini hela kuliko uhai wa watu. Kwanza stahiki yao ni kuface FIRING SQUARD vishoka wakubwa hawa. waliofyekwa kwenye daftari wanauwezo wa kupata kazi wanakodhani wataajiriwa.

miaka ya nyuma wasomi waliodhani hawako tayari kushare umasikini tuliokuwa nao walijiondokea kwenda nje kimya kimya bila kelele na hakuna alielalamika wala kuwafuatilia. nawafahamu madaktari kadhaa wana hospitali Uingereza hususan Liverpool - lakini hawakuuwa kwanza ndo waondoke - hawa wa sasa ni wapuuzi mwisho.
 
Back
Top Bottom