Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

Mkuu,madaktari wamefanya sehemu yao,kwanza watanzania wenyewe tulianza kuwarushia maneno na kuwahukumu kuwa si wazalendo na maneno mengi yamesemwa juu yao,serikali ilipata support kutika kwako mtanzania kuifanya hoja ya madaktari ilegee,and ujue kuwa serikali ilishazoea kufanya inavyopenda yenyewe na watanzania mnaosifika kwa upole na mnajivuna na hiyo amani ya makaratasini hamchelewi kubadilika.
Kweli madaktari hawawezi kukaa siku zote bila kwend kazini lakini imewavunja moyo sana na ninaamini hata kiwango cha utoaji huduma kipo ovyo,
hawawezi kufanya kitu,magamba ndo walioshika madaraka so,mgomo huu umekuwa mgomo baridi and nadhani utaerndelea forever.pia wameshafikisha ujumbe wao,kwa wale watanzania wapenda mabadiliko tumeona and personally nawapongeza kwa hili.
Walimu hao wanagoma,wamekuwa wakinyanyasika siku nyingi na wengi imewabidi kufanya kazi ambazo haziendani ni nidhamu ya kazi yao,leo wamegoma,watanzania nyie nyie mmeshaanza kulaum.

Mie naamini,hata roma haikujengwa siku moja!!ipo siku mbayo hainajina,haya yote yatakwisha.ona sasa hivi wameingilia maslai ya waajiliwakwa kutowapa stahiki zao mpaka 55yrs.tucta wanaandaa maandamano utaona kama watu wataenda au laa.yaani wa tz tunamatatizo sana,sijui nani atatusaidia.mungu tuokoe!!!
 
Jibu lake ni Utendaji wa J.K, Pinda na Serikali yao. Kwa hilo la madaktari ni kwamba Nenda muhimbili katibiwe ndiyo utajua ukipimwa sawa usipopimwa utakuwa umepata jibu ukifa vilevile ni sawa hakuna tofauti sana ingawa possibility ya kufa ni 80%
 
Hakuna mgomo wowote unaoweza kufanyika nchi hii ukafanikiwa hata siku 1,serikali inajua udhaifu wetu ndio maana migomo wala haiwatishi,ngoja uone na hao walimu kama watamaliza wiki 2 kwenye mgomo,hatuwezi kufanya mgomo wakati ajira zenyewe zakuwinda,kikubwa kwa huu umaskini wetu hakuna mgomo utaofanikiwa hata siku 1,
 
madaktari ni wasaliti wa damu ya watanzania
Kabisa, kulikuwa na haja gani ya madaktari kurudi kama walikuwa wanamuonea huruma mgonjwa? au kama waliamini thamani yao si hii wanayopata wakati huu? HEBU WATANZANIA TUJUE TUNACHOTAKA KWANZA, SI LAZIMA VIPATIKANE KWA MARA MOJA, LAKINI TUKIINGIA KWENYE KITU TUHAKIKISHE KUNA MABADILIKO!
 
Raisi aliposema, asiyetaka mshahara huu aache kazi, Hivi madaktari walishindwa kujibu kwa kusema "sisi madai yetu si hayo tu ni pamoja na vitendea kazi, kwa ajili ya wananchi na taaluma yetu, kwa hiyo haturudi!" Nilifikiri hili neno lingemtosha Raisi, mawaziri wake na wananchi kwa ujumla.
 
Ni kweli kuwa mishahara ya wafanyakazi walio wengi ni midogo sana kumudu mahitaji muhimu ya binadamu. Lakini tuangalie chanzo ni nini? how can we move forward? je kulalamika kwenye mitandao is a solution? kwa nini tusiombe jukwaa tukayazungumza wakiwepo watendaji wakuu wa serikali? tujaribu kuangalia njia mbadala ya kurekebisha hali. Mawazo yetu yatasaidia. Lakini kwa halli ya sasa ilivyo ya uchumi mishahara mikubwa haitawezekana na huo ndio ukweli. Ingawaje vitu vinaweza kufanyika mambo yakawa mazuri. PIa tusipende ku generalize issues. Sio wote walioko CCM ni wabaya na sio wote walioko upinzani ni wazuri huo ndio ukweli. Watanzania bado tuna ubinafsi mkubwa na hiyo inachangiwa na sera za nchi yetu.

tatizo ccm imeshalaaniwa...
 
Si kweli kwamba watendaji wakuu wa serikali hawajui matatizo ya wafanyakazi na kama wapo wa namna hiyo basi wako kwenye nafasi hizo kimakosa. Unaweza kumshawishi mtu akubali kwamba uchumi wetu ni mbaya wakati kwa uchumi huo huo mbunge anapewa milioni 11 kila mwezi? Kafulila alisema kuna watumishi wanalipwa milioni 20 kila mwezi, huo kweli ndo uchumi mbaya? Tatizo ninaloliona mimi ni kwamba watendaji hao wa serikali wameshindwa kugawanya hiyo keki ya taifa katika hali ya usawa kiasi kwamba wachache wanapewa kikubwa na wengi wanapewa kidogo. Tarajia migomo zaidi ndugu yangu.
 
Mkuu,madaktari wamefanya sehemu yao,kwanza watanzania wenyewe tulianza kuwarushia maneno na kuwahukumu kuwa si wazalendo na maneno mengi yamesemwa juu yao,serikali ilipata support kutika kwako mtanzania kuifanya hoja ya madaktari ilegee,and ujue kuwa serikali ilishazoea kufanya inavyopenda yenyewe na watanzania mnaosifika kwa upole na mnajivuna na hiyo amani ya makaratasini hamchelewi kubadilika.
Kweli madaktari hawawezi kukaa siku zote bila kwend kazini lakini imewavunja moyo sana na ninaamini hata kiwango cha utoaji huduma kipo ovyo,
hawawezi kufanya kitu,magamba ndo walioshika madaraka so,mgomo huu umekuwa mgomo baridi and nadhani utaerndelea forever.pia wameshafikisha ujumbe wao,kwa wale watanzania wapenda mabadiliko tumeona and personally nawapongeza kwa hili.
Walimu hao wanagoma,wamekuwa wakinyanyasika siku nyingi na wengi imewabidi kufanya kazi ambazo haziendani ni nidhamu ya kazi yao,leo wamegoma,watanzania nyie nyie mmeshaanza kulaum.

Mie naamini,hata roma haikujengwa siku moja!!ipo siku mbayo hainajina,haya yote yatakwisha.ona sasa hivi wameingilia maslai ya waajiliwakwa kutowapa stahiki zao mpaka 55yrs.tucta wanaandaa maandamano utaona kama watu wataenda au laa.yaani wa tz tunamatatizo sana,sijui nani atatusaidia.mungu tuokoe!!!
Tatizo la watanzania ni lawama tu!matatizo ya madaktari sio yao wenyewe wala ya waalimu sio yao wenyewe ni kwa ajili ya watanzania wote,tulio wengi tunaonyesha support na misimamo yetu kwenye keyboard lakini sio kwa vitendo wala hadharani!SASA HIVI KILA MTU ATOTOKA KIVYAKE!UTAHUDUMIWA KIVYAKO NA KUMSOMESHA MTOTO WAKO KIVYAKO KWA NJIA UNAZOZIJUA WEWE.MADAKTARI WAKIGOMA MNALALAMIKA OH,LUDINI KAZINI JAMANI MASKINI TUNAKUFA,WAKIRUDI KAZINI OH NI WANAFIKI,WAJINGA,MAFALA NA MAJINA MENGINE MNAYOTAKA KUWAPA!WAACHE WAFANYE WANAVYOTAKA,ATAKAYETAKA KUONA WAGONJWA WAWILI KWA SIKU SAWA,ATAKAYEAMUA KUTOFANYA OPERATION MPAKA VIPIMO AMBAVYO HAVIKO HOSPITALINI SAWA ATAKAYEAMUA KUHAMIA SEHEMU NYINGINE SAWA,WHO CARES!
 
Ni kweli kuwa mishahara ya wafanyakazi walio wengi ni midogo sana kumudu mahitaji muhimu ya binadamu. Lakini tuangalie chanzo ni nini? how can we move forward? je kulalamika kwenye mitandao is a solution? kwa nini tusiombe jukwaa tukayazungumza wakiwepo watendaji wakuu wa serikali? tujaribu kuangalia njia mbadala ya kurekebisha hali. Mawazo yetu yatasaidia. Lakini kwa halli ya sasa ilivyo ya uchumi mishahara mikubwa haitawezekana na huo ndio ukweli. Ingawaje vitu vinaweza kufanyika mambo yakawa mazuri. PIa tusipende ku generalize issues. Sio wote walioko CCM ni wabaya na sio wote walioko upinzani ni wazuri huo ndio ukweli. Watanzania bado tuna ubinafsi mkubwa na hiyo inachangiwa na sera za nchi yetu.

.............cna shaka utakua ibilisi .......... upako searchin
 
hawa watu wameshindwa kufikia muafaka na madaktari watashindwa na waalimu sasa
sijui hii nchi ni ya kwao peke yao ?hatuwezi kuwa naviongozi wasio na mikakati ya dhati ya
kutatua matatizo ya wananchi wao ikiwemo wafanya kazi
 
Kumtoa raisi madarakani kabla ya kumaliza muda wake si dhambi hata kidogo, dhambi ni kumwacha aendelee kukaa madarakani huku akiwaibia na kuwatesa watanzania akiwa ikulu. Naona kama nchi haitatawalika kama itakuwa ni kweli kinanuka tena.

NI HERI SHUJAA ALIYEKUFA KULIKO MWOGA ANAYEISHI
 
Back
Top Bottom