Kitabu gani nisome, Kitabu gani wasoma?

Kitabu gani nisome, Kitabu gani wasoma?

Kwa leo nashauri hivi viwili:

1. We Need New Names by NoViolet Bulawayo - kinachekesha sana na pia kina uhalisia wa hali ya juu.Hutaacha kufananisha maisha yako na ya muhusika mkuu.

2. A Long Way Gone by Ishmael Beah - utaelewa umuhimu wa amani tuliyonayo leo hii.
Unaweza kunisaidia we need new names nimesoma summary yake nimekipenda (in form of PDF kama unayo au link nnayoweza download)
 
Mnapata shida kupata maarifa na hekima..
Soma biblia/Quran.

Ukishindwa soma KATIBA YA NCHI ya mwaka 1977..uijue nchi yako

Au soma..sheria za barabarani ili usafiri salama roadin...

Ukishindwa kabisa nunua magazeti ya daily news ..
 
1: Catch me if you can
Kinazungumzia maisha ya tapeli mkubwa kupata kutokea Mr. Abagnale

2: Question and Answers
Kinazungumzia kijana aliyeweza kujibu maswali yote kwa usahihi katika shindano akakamatwa na askari ili kujua alijuaje majibu yote.

3: Accidental apprentice
Tajiri mkubwa anampa mitihani msichana ili akifaulu amrithishe kampuni yake.

4: Six suspects
Mtoto wa tajiri mkubwa anamuua msichana klabu baada ya msichana kugoma kumuuzia bia muda wa klabu kufungwa huyu mtoto mahakama inamkuta hana hatia lakini siku ya kushereheka kuachiwa na yeye anauawa, msako wa mle ndani unakamata watu sita wakiwa na bunduki kila mmoja akiwa na sababu zake.

5: The appeal
Kampuni kubwa inachangia familia nyingi kupata magonjwa ya kansa, inafikishwa mahakamani na kuamriwa kumlipa mwathirika mmoja kwa kuhofia kumlipa yule kutawaleta wengine wanakata rufaa.

6: The lost girls
Wakili anarudi mkoa aliowahi kuishi utotoni ili kumtetea mwanaume anayetuhumiwa kuua binti wa eneo hilo.

7: Yellow kid weil autobiography
Inazungumzia maisha ya tapeli mkubwa anayesemekana kuiba karibia 8m $.

8: Memoirs of Rakehell
Inazungumzia adventures za kijana wa kizungu enzi za zama za Victoria.
nami naomba nitumie copy please mukalabamu@yahoo.com

please nami naomba copy mukalabamu@yahoo.com
 
Mimi nasoma: YOU can HEAL Your Life. ni cha Louise Hay.
Anaongelea sana Jinsi ya kujitambua/ufaham na kuelewa maana ya maisha na mapito.
Vitabu vingi vya self help ni addictive na wasomaji wengi huwa na less actual results in real Life.

Nimesoma vingi but najiona nipo vile vile japo uelewa kiasi Fulani umeongezeka.

Ila umasikini wangu upo vile vile.
 
1: Catch me if you can
Kinazungumzia maisha ya tapeli mkubwa kupata kutokea Mr. Abagnale

2: Question and Answers
Kinazungumzia kijana aliyeweza kujibu maswali yote kwa usahihi katika shindano akakamatwa na askari ili kujua alijuaje majibu yote.

3: Accidental apprentice
Tajiri mkubwa anampa mitihani msichana ili akifaulu amrithishe kampuni yake.

4: Six suspects
Mtoto wa tajiri mkubwa anamuua msichana klabu baada ya msichana kugoma kumuuzia bia muda wa klabu kufungwa huyu mtoto mahakama inamkuta hana hatia lakini siku ya kushereheka kuachiwa na yeye anauawa, msako wa mle ndani unakamata watu sita wakiwa na bunduki kila mmoja akiwa na sababu zake.

5: The appeal
Kampuni kubwa inachangia familia nyingi kupata magonjwa ya kansa, inafikishwa mahakamani na kuamriwa kumlipa mwathirika mmoja kwa kuhofia kumlipa yule kutawaleta wengine wanakata rufaa.

6: The lost girls
Wakili anarudi mkoa aliowahi kuishi utotoni ili kumtetea mwanaume anayetuhumiwa kuua binti wa eneo hilo.

7: Yellow kid weil autobiography
Inazungumzia maisha ya tapeli mkubwa anayesemekana kuiba karibia 8m $.

8: Memoirs of Rakehell
Inazungumzia adventures za kijana wa kizungu enzi za zama za Victoria.

Shilemba05@gmail.com fanya kuzitupia humu mkuu tufurahie wote
 
Man Naomba uniforwardie soft copy ya hii list yako noelsezarius@gmail.com
 
Attachments

Kj
1.Safari za Gulliver na Jonathan Swift
2.Visa vya Oliver Twist na Charles Dickens
utaburudika na kuliwazika vya kutosha.[/QUOTE kaka hiki cha safari za Gulliver nitakipataje.? Chanikumbusha mbali saaana yaani.!
 
Salamu Wapenzi wa Vitabu!!

Hapa twaweza jadiliana kuhusu vitabu ambavyo tumeshavisoma, na tunavisoma kwa sasa na kisha kuvipa maksi (alama) (kati ya 5).

Hii ni kutufanya tupende kujisomea.

Nitaanza mimi.

Sasa nasoma: Genesis: Beginning and Blessing by R. Kent Hughes (Kitabu cha Kidini, kinazungumzia Kitabu cha MWANZO cha BIBLIA).

Nimesoma karibuni: The 21 Irrefutable Laws of Leadership Book by John C. Maxwell - 4/5 (Kinahusu Kanuni za Uongozi)

Kitafute Kitabu kizuri kabisa chenye Title ya Think Big cha Ben Carson uone huyo MWANAMUME alivyo na anavyojua kufikiri hadi raha.
 
1. Red Notice: How I became Putin's no. 1 enemy - Bill Browder

ea4a4d9fab63414df7cf6031b8a928e7.jpg

2. The Thing around your neck - Chimamanda Ngozi Adichie

1d1d76f4f62e4bc029f4480f1f7e5769.jpg

3. The Devils Alliance: Hitlers Pact with Stalin - Roger Moorhouse
056a24e5f20bf130c7f540b6a4c6143d.jpg

4. Vuta N'kuvute - Shafi Adam Shafi
dbcbffbcf7e1571e6cf8574628770921.jpg
 
Back
Top Bottom