Recent content by Muhaya

  1. M

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Geita Bank yenu inalemewa na wateja has a mwisho wa mwezi pale kwenye ATM machines ,Mara nying nimeshuhudia msururu mrefu had SAA tatu za usiku, fanyeni utaratibu wa kuongeza/kufungua ATM machines ziwe nyingi ili kurahisha huduma kwa wateja wenu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polisi apigwa mapanga, SMG yanyakuliwa

    Nasema tuache siasa unashabikia polisi kuumizwa na bunduki kuchukuliwa alafu unajiita raia mwema! kivipi? Jiulize hiyo silaha italeta madhara kwa wangapi? usikoment ili uonekane na wewe humo, sipendi uhalifu,na napenda sana askari,pole kwa askar aliyeumia.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Polisi apigwa mapanga, SMG yanyakuliwa

    Hapa kila kitu SIASA hata ambaye hajui SIASA anajifanya anajua siasa, anayeshabikia kitendo kama hicho huyo sio mwema,kitendo cha kuumia kwa askari tunatakiwa tuguswe,na tukikemee...... usichangie hapa ili kufurahisha mtu hapa.Kuumia kwa askar ni sawa ameumia ndugu yangu hivyo naumia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu mnaidhalilisha Ofisi ya Rais Kikwete

    Hayo ni makosa ya kawaida mbona tumeelewa!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waliochota Pesa ESCROW Stanbic hawa hapa

    ngoja wale namimi nikipata nafasi nakula
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Pinda, Werema na Muhongo wataka zigo la Escrow abebeshwe Kikwete!

    "The Beautiful Ones Are Not Yet Born" Says Ayi Kwei from Ghana.......... kila mtu ni corrupt hadi Makanisani na Misikitini nako hali ni ileile...... .
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakana kuandika Barua kuzuia mjadala wa Tegeta Escrow Account bungeni

    Mbona mimi naona hela ya ESCROW ni vijicenti,ebu kila Mbunge anatafuta umaarufu kupitia hii kashifa,hiyo sio kinga kama mlitusahau subirini 2015
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mbinu chafu za Lowassa kumhujumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda zavuja

    Edward Lowassa ndio rais 2015 ni chaguo sahihi.Wengine sioni
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maalif Seif: TWAWEZA mngefanya utafiti wa Escrow

    Maalif Seif hana jipya
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa pesa kwenye akaunti yangu ya NBC

    pole kaka watakuwa wamehusika wafanyakazi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za Benjamin Mkapa kumuunga mkono Lowassa

    Lowassa hata mimi namkubali
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zamani wa Amerika Akamatwa na Madawa ya kulevya Kokaini George W. Bush Arrested for Cocaine

    mmmmmm! is it possible!? siamini
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz afiwa na baba yake mzazi Leo

    Pole sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    Kaka Zitto piga kazi achana na hao,unawazidi kila kitu wala usipoteze muda kuwajibu....... wameishiwa sera.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi kituo cha Nachingwea wamepigwa na JWTZ

    Umesema kweli..... Tatizo ni elimu hawajitambui bado..
Back
Top Bottom