Recent content by MUHASIBU

  1. MUHASIBU

    JamiiForums Tanzania Natafuta eBook reader (kindle)

    Mie ninayo kindle keybord njoo nikuuzie kwa laki tatu na nusu already discounted. Nimenunua mwenyewe kutoka amazon
  2. MUHASIBU

    JamiiForums Tanzania ipo siku nitampiga makofi wife akiwa anasali

    Ndo ushauri ilioutaka. Unataka asiyesali? Hivi unadhani atajisikiaje akijua unaomba ushauri Jf na kumsema hivi? Wewe unamatatizo au una lako jambo unatafuta kuungwa mkono.
  3. MUHASIBU

    JamiiForums Tanzania Biashara ya compendium udom ni balaa, walimu wanatuibia wanafunzi

    Ujinga sio tusi. Kama ni tusi basi Mwl Nyerere alikuwa mtukanaji kwa kutimia neno hili
  4. MUHASIBU

    JamiiForums Tanzania Biashara ya compendium udom ni balaa, walimu wanatuibia wanafunzi

    Kama unadhan kununua compdm ni gharama mwambie mwanao anunue vitabu kwa allowance wanayopewa na board kwa ajili ya vitabu acha kuendekeza ujinga.
  5. MUHASIBU

    JamiiForums Tanzania Mh. Zitto na Martin Luther King

    Bado sana
  6. MUHASIBU

    JamiiForums Tanzania Mh. Zitto na Martin Luther King

    Unataka.kusema.wauza matikiti wana.akili.ndogo? Uwe na adabu kwa.kazi za watu
  7. MUHASIBU

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda What does Kagame and Museveni love and hate relation tells about the danger of EAC political federat

    Mmoja mwenye busara akiacha kijibu mjadala utaisha. It has no.meaning to humanity. Just hatred to benefit politician. Sijapenda manen yeno
  8. MUHASIBU

    JamiiForums Tanzania Alama mpya za ufaulu zapingwa

    Nina Mashaka na uwezo wa Rais na watu wake kufikiri. Zaman watu tumeenda kwa madaraja yale.. Leo yanafelisha. Huu ni uhuni na Ujuha wa CCM kutokubali kuwa wameshindwa kusimamia ubora wa Elimu. Matokeo makubwa kwa kugawa Marks inawezekana. Nitaacha ualimu
  9. MUHASIBU

    JamiiForums Tanzania Kwanini sintaruhusu kaka yangu ahudhurie harusi yangu?

    Duuu! Hata mahubiri yaweza kumbadilisha
  10. MUHASIBU

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi niko mpanda rukwa nataka kwenda Iringa wilaya yoyote ile. Kama unataka tubadilishane. Mwalimu shule ya msingi. Email lemwem@gmail.com
  11. MUHASIBU

    JamiiForums Tanzania Kwanini sintaruhusu kaka yangu ahudhurie harusi yangu?

    Kanisan aweza kutana na muujiza wake akaacha vyote...
  12. MUHASIBU

    JamiiForums Tanzania Why Obama is visiting Tanzania

    WE ARE LOOOSING. WAMKUJA KUSCAM RASILIMALI:A S-fire1:
  13. MUHASIBU

    JamiiForums Tanzania Why Obama is visiting Tanzania

    Not thinking on the other side of this missions because we are hungry will endanger the future SUSTAINABILITY of our country! 500 business men for what and with whom are they work? in search for what? Are we not able to utilize our resources? in a presidential mission supported by their...
  14. MUHASIBU

    JamiiForums Tanzania kuna madhara gani kuishi mbali na mume?

    kutokuaminiana zaidi..... MISTRUST.
Back
Top Bottom